Tutarajie hukumu: je ni onyo Kali au fidia..?

Ngungenge

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2016
Posts
2,953
Reaction score
3,449
Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho.

Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa
Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu zilizotolewa hazijakidhi Matakwa ya kisheria pia pande zote mbili wameshindwa kumaliza nje ya uwanja.

Mashahidi upande wa walalamikaji wamemaliza Kutoa ushahidi usiokuwa na Shaka pia upande wa utetezi wamemaliza kuwasilisha utetezi wao.

Kwa kuwa invisible court pia ni open court kwa wachache wenye jicho la tatu pekee mshakiwa hatoboi.

Binafsi nimesikitika sana kwa kuwa mashtakiwa ni rafiki yangu wa Karibu sana.
 
Mashahidi wa gizani waliotoa ushahidi usio na shaka ndio kama yule bodaboda aliyepewa jina la P2 aliyesema alikuwa kijiweni akahamasika na kauli ya kukinukisha ?

Mwingine eti ni mkulima alsikia clip akaenda kumwambia mkewe wakahamisika kukinukisha.

Hujiulizi kwanini waliamua mashahidi wawe wa gizani??

Watu mna mizaha sana na kodi za watanganyika.
 
Shauri lililofunguliwa Invisible court liko hatua za Mwisho.

Court hio imemkuta na hatia mtuhumiwa
Sasa upande wa utetezi wanaomba shauri hilo liondolewe, Lakini imekuwa ngumu kwa kuwa Sababu zilizotolewa hazijakidhi Matakwa ya kisheria pia pande zote mbili wameshindwa kumaliza nje ya uwanja.

Mashahidi upande wa walalamikaji wamemaliza Kutoa ushahidi usiokuwa na Shaka pia upande wa utetezi wamemaliza kuwasilisha utetezi wao.

Kwa kuwa invisible court pia ni open court kwa wachache wenye jicho la tatu pekee mshakiwa hatoboi.

Binafsi nimesikitika sana kwa kuwa mashtakiwa ni rafiki yangu wa Karibu sana.
Kitanuka tu, time will tell.✍️📌
 
Mashahidi wa gizani waliotoa ushahidi usio na shaka ndio kama yule bodaboda P2 aliyesema alikuwa kijiweni akahamasika na kauli ya kukinukisha ??

Hujiulizi kwanini waliamua mashahidi wawe wa gizani??

Watu mna mizaha sana na kodi za watanganyika.
Hahaha hio kesi ni tofauti na hio
Ni kwa wale wenye third eye pekee
 
Hahaha hio kesi ni tofauti na hio
Ni kwa wale wenye third eye pekee
Hakuna cha third eye hapa kwa ufupi kesi ya Lissu imetufungua macho sana namna mahakama na mawakili na majaji wa Tanzania walivyo .

Nilichokiona kule ICSID 2023 nilidhani ilitokea bahati mbaya kumbe ndio kawaida yao.

Wakifika mahali standards zinasimamiwa tunajua kinachofuata.
 
Kuna kesi kubwa zaidi ya hio ya Lissu
Hapa ya Lissu haiko invisible court Mkuu
 
Mimi naona hatuelewani na hatutoelewana.

Naishia hapa.
Nchi hii Ina Kesi Kubwa mbili
Moja ni visible ndio tunayoiona na Kuisikia Katika masikio ya kibinadamu
Ya pili inasikika na kuonekana tuu kwa wenye third eye pekee
Hivyo Mimi mazungumzia kesi ya pili
 
Back
Top Bottom