Cheza kamari uone mziki wake
point taken..nitakuwa makini but namwamini eiyer
Mimi nataka wote tusicheatkwa mantiki hiyo miss chagga, ndo kusema Eiyer wants to eat his cake and have it too
Eiyer sometimes unakuwa na wishful thinking, kwamba wote muwe perfect lakini ndo ivo kama alivosema Munkari unakuwa hucheat ila mwenzio anacheat
Kweli kabisaPili, nakubaliana na hoja (sadly) kwamba kucheat na kupenda ni tofauti sana....
Nalifikiria hili japokuwa ni gumuTatu, ndoa sio ya kila mtu......so ukijisikia kuwa mseja poa tu, andhani unaipa thamani kubwa sana ndio maana mwenyewe unasita sita pia kwa vile hutaki kuifanyia mchezo
Nitajaribunne, the world is not fair at all...so better live ur life, shit happens na punguza expectations (u have set the bar too high)
Husninyo
Huyu tupo nae leo kwenye maombi...lol!upo wapi hebu njoo
Hapo sasa tutaelewana
Nitafute leo jioni upate mkuu wa meza!!!!!!!!
Lakini Mkuu huwa wanasemaga kitanda hakizai haramu. Na unajuaje kama hao watoto sio wako?
Kwa mch.gwajima au tuende mitaa yangu ya pasua kichwa
Duh ngoja nifanye kuna ka kazi hapa nitakuja hyo mida vp shem atakwepo
Cc rosita
Walas una speed ..nishakuwa shem tayari?
Mapema sana kuwepo huyo
Halafu bado hatujafika huko kwenye kuitana wapenzi bana
Sasa hivi ni marafiki tu!
Good
Nakubaliana na wewe kuwa makini
Sitaki uniamini blindly tu
Hutakuwa umejitendea haki!
Nina zaidi ya miaka 30 na sijakutana nao
Wewe uliwaona wapi?
Niambie ili unirahisishie kazi!
Sina dem humu hivyo nidaganye inisaidie nini?