Tutalalamika mpaka lini?

Mambo ya wananchi yapi? Wananchi wameuliwa ndugu zao zaidi ya 500 wengine kila leo kutekwa. Wao hawahitaji haki za ndugu zao?
Kuuliwa tu ndiyo hoja , yaani kama sio kufanya uasi unafikiria wangeuliwa , ona sasa unaenda kufanya vurugu unakufa kwa kufuata mkumbo ....Kule USA watu kila mwaka zaid ya laki tano wanapotea , mbona hawafanyi uasi .


Vurugu hazikubaliki na hakuwa wa kulaumiwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…