Tutakukumbuka daima

Tutakukumbuka daima

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
360,175
Reaction score
829,132
1442092880989.jpg kapumzike kwa amani Mohammed Mtoi
 
Sikumjua ka kumwnakwa macho lakini alikuwa kamanda tena wa msitari wa Mbele. RIP kamanda
 
hapo ccmm wamefurahi sana.
Kula ya ukawa imepungua
r.i.p Mohamed

Weka akiba ya maneno mkuu, siasa sio chuki.
Sidhani kama ni sahihi kuzungumza nafsi za wengine inapofika suala la kifo.
Wewe unadhani ndugu jamaa na marafiki wote wa marehemu ni chadema tu?
Kifo hugusa watu wote bila kujali imani na itikadi zenu.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe
 
daah R.I.P jamaa alikuwa ni mmoja kati ya vijana wanaofanya vizuri kwenye siasa hasa za upinzani
 
hapo ccmm wamefurahi sana.
Kula ya ukawa imepungua
r.i.p Mohamed

acha hizo ndugu,kifo siyo sawa na ujinga wa kisiasa,kifo siyo ushabiki wa kisiasa,kifo hakina ccm wala ukawa wala tlp.
Maneno mengine jichunge,jamaa anandugu zake na labda wamo hata humu Jf,usije kuwajengea chuki na vyama vingine,ccm yafurahi ili iweje sasa.
Acha hizo.
 
Back
Top Bottom