Tutakukumbuka daima

Tutakukumbuka daima

Hakika Bwana ametoa na Bwana ametwaa,jina la Mungu wetu aliye hai libarikiwe.
 
Poleni wafiwa mwenye wasifu wake jamani atuwekee walau tumtambue vizuri na sie wengine
 
R.I P kamanda, ukifika huko mpe Hi Regia Mtema, mwambie mabadiliko yamepamba moto, na Lowasa amejiunga chadema wakati babu slaa kaacha siasa
 
Very very sad...
Yanapotokea haya huwa naukumbuka wimbo wa Ambassadors of Christ ya Rwanda ,"kwa nini umeruhusu""? Inahuzunisha sana, sijui mke wake atakuwa anahali gani?
Kaacha pengo kubwa sana hata hapa Jf...mwenyezi Mungu amrehemu. Amen.
 
Kumbe kamanda alikua member wa hapa jf, alikua anatumia avatar / jina gani?
 
Japo kuwa sikuwa nakubaliana nae mambo mengi sana Mtoi lakini ameniuma sana,siku nzima sikuwa na furaha juu ya msiba wake,naamini Mtoi alikuwa mtu mpenda mabadiliko kama wengine ,japo tulitofautiana njia alizokuwa anapita yeye,
Mwiso kwa niaba ya family yangu mawapa pole sana family na ndugu wa Marehem Mtoi Inshallah Mungu amlaze mahala pema ,
Daima tutakukumbuka sio kwa sababu ulikuwa mfuasi wa CHADEMA bali kwa Utanzania wako
 
Back
Top Bottom