Tutaje uzuri wa kila kabila

kethika

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
630
472
Huu ni kweli kuwa kila kabila lina uzuri na ubaya wake. Najua pia swala la uzuri au ubaya ni relative ( inategemea vile aonavyo mtu), tuongee hapa kwa ujumla.

ELEZA UZURI TU USIELEZE UBAYA WA KABILA HUSIKA. MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA.

Naanza mie. Wamasai ni watu wenye msimamo, mkikubaliana jambo hawana kugeukageuka. Haya twende pamoja!!!
 
Back
Top Bottom