Huyu Mimi
JF-Expert Member
- Apr 16, 2019
- 2,573
- 2,091
Togwa naipendaaMbona watu mnataja vitu ambavyo kibiblia bado ni dhambi? Labda tuspecify kwamba “kitu fulani mi kwangu sio dhambi”.
Anyways nani anaijua togwa? Kijijini kwetu ni aina ya kinywaji watu hunywa hasa wakitoka kufanya kazi ngumu mfano kulima, Sasa Kanisani kwetu zamani tulihubiriwa kuwa kunywa togwa ni dhambi, binafsi niliamini na nikawa sinywi, siku hizi nikiikuta mahali napiga tu.