tutaishije jamani?

Kuna mzembe m1 kanambia eti Hasheem Thabit kasajiliwa na chama langu liverpool. Kama ni kweli mwaka huu lazima tuchukue kombe la dunia. Kulaaleki hivi leo jumangapi, mbona mshahara haujaingia?
 
Una hatari wewe!
Halafu kuna mahali nimeona Tanmo anaomba wanawake wambusu,halahala mti na jicho,wahi uangalie kama mkeo hajarusha busu.
 
We mwache afaudu mabusu wenzie tunapewa vitumbua tunakula, tunashiba, tunacheua.
 
mm jf inanikeep busy sana kiasi kwamba siwi boadi kihivyo
 
Leo ni castle lite na mbuzi 2 ikifika saa 2100 ni muda wa kupumzisha hili hekalu
 
Kuna mzembe m1 kanambia eti Hasheem Thabit kasajiliwa na chama langu liverpool. Kama ni kweli mwaka huu lazima tuchukue kombe la dunia. Kulaaleki hivi leo jumangapi, mbona mshahara haujaingia?

kuna mtu anaumwa hapa si bure
 
Kuna mzembe m1 kanambia eti Hasheem Thabit kasajiliwa na chama langu liverpool. Kama ni kweli mwaka huu lazima tuchukue kombe la dunia. Kulaaleki hivi leo jumangapi, mbona mshahara haujaingia?

Khaaa!
Shiikamoo babu!
Tupo hapa Fyatanga kaunta ya juu na papa Rejao,leo ijumaa mshahara mpaka tarehe 40 lol!
 
Canta,kumbe na wewe ni mpenzi wa mbuzi choma?
Mi kuna siku nilikwenda wakanifanyia chenchi dola sijawahi kurudi tena.
 
Bishanga kauli gan hii wajamen lol!pale tunaendaga kumpa kampan babu Asprin coz ndio kijiwe chake!
 
Last edited by a moderator:
We Cantalisia unataka kusema mnavyokuja kunichuna na hilo buzi lako Rejao ndo kampani mnayonipa? Kampani au hasara? Manina wallah

Khaaaaaa!inamaana ndio umetugeuzia kibao babu,poa ucjali bili yako ya jana mme wangu keshawatumia hela yao kwa mpesa na tumekulipia ya wiki nzima ww uwe unaenda tu kunywa babu yetu lol!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…