Tutailipa ACACIA, Ila tuing'oe CCM kwanza

kama kichwa cha mada yangu kinavyoeleza.....

Kama hoja ya kupinga wizi huu wa ACACIA kwenye makinikia/madini (mikataba) leo ingeletwa LEO na lisu/upinzani

==Tungeacha uchama na kuwaunga mkono?

==Je tungekuwa tayali kushika bango hii mikataba iwekwe wazi?

Ni mbunge gani? Na waziri gani angewahunga mkono?

===Je Mh. Rais angewasikiliza kwa bango lao walilolishika????

===hivi UVCCM taifa wangeita media kuunga UZALENDO wa hawa wenzetu??

++++Naomba nimalize kwa kusema

HILI SWALA LA MCHANGA LIMENIFUNGUA MACHO NA KUNIPA UZALENDO WA KWELI KUKIPENFA CHAMA SIO KUSHABIKIA KILA KITU (Ndiyoooooo) yaani nyeusi kuita nyeupe kisa mwenyekiti wangu kasema
 
IMG_20170529_152239_049.jpg
 
Tanzania kuna siasa za kuwafunga watu midomo na kuwafungua muda ukifika watanzania watajua 'Any decision you make in life you are responsible for it'
 
kama kichwa cha mada yangu kinavyoeleza.....

Kama hoja ya kupinga wizi huu wa ACACIA kwenye makinikia/madini (mikataba) leo ingeletwa LEO na lisu/upinzani

==Tungeacha uchama na kuwaunga mkono?

==Je tungekuwa tayali kushika bango hii mikataba iwekwe wazi?

Ni mbunge gani? Na waziri gani angewahunga mkono?

===Je Mh. Rais angewasikiliza kwa bango lao walilolishika????

===hivi UVCCM taifa wangeita media kuunga UZALENDO wa hawa wenzetu??

++++Naomba nimalize kwa kusema

HILI SWALA LA MCHANGA LIMENIFUNGUA MACHO NA KUNIPA UZALENDO WA KWELI KUKIPENFA CHAMA SIO KUSHABIKIA KILA KITU (Ndiyoooooo) yaani nyeusi kuita nyeupe kisa mwenyekiti wangu kasema
Mtoa mada mbona 'Thread' yako imebadilshwa?
 
Historia imetusogeza katika ukingo wa haki. Mahali ambapo tunapaswa kutoa haki kwa wenye haki, na kupokea haki tunayostahili.
Ikiwa nguvu itahitajika ni sawa, maana historia itakuwa imetusogeza kwenye ukingo wa machafuko na hatuwezi kukwepa!

CCM imetuletea majanga yasiyomithilika.Ndio iliyopitisha sheria za uwekezaji kimuhemuhe. Ndio waliosign mikataba na wazungu kwa siri.
Na kama rasilimali zetu zimeibiwa basi CCM ni mshiriki namba moja kwenye huo wizi.

Tutamlipa Acacia, sio kwasababu ni halali, ila ni haki yake kisheria.
Na CCM hatuwezi kuwaacha hivi hivi hivi, itageuka ni mazoea.Tutamtendea kama mwizi anavyotendewa.
1. Tuitoe madarakani kabla ya kuidhinisha shilingi yoyote kumlipa Acacia.
2. Wahusika wakuu, Mzee Mkapa & co. Tuwafanyie mahakama ya wazi pale uwanja wa taifa.
TUWAHUKUMU WATU KUTOKANA NA MATENDO YAO.

Ndugu zangu, nyakati kama hizi ni adimu sana katika historia.
Ni nyakati za kipekee na zisizofananishwa na nyingine kwa vijana kuonyesha uwepo na uhai wao katika taifa. Vijana lazima waache alama ya kizazi chao katika historia.

Tumekusanya matatizo mengi kama taifa na hii ni fursa ya kuyatatua.
Nyakati kama hizi zinahitaji maamuzi magumu, roho na mioyo iliyo tayari ambayo hutokea mara chache sana katika historia. Lakini zinapotokea huleta mafanikio makubwa sana kutoka katika uwezo wa juu kabisa wa mtu!

CCM OUT!
Wewe nani mpaka uing'oe CCM? Nenda kawaambie hao vitimbakwira wenzako kwamba CCM kamwe haitashindwa na makapi yake (Comrade Kinana 2015). Hao waroho wa madaraka waliokimbilia upinzani wakidhani watachukua dola imekula kwao maana wataangukia pua. CCM itatawala mpaka hapo watakapopatikana wapinzani wa kweli siyo watafuta vyeo na malengo binafsi tu! Period!
 
Jeshi la polisi ndio limebaki kimbilio lenu, ila mjue kila changamoto itapata jawabu. Na hii ni pamoja na hao polisi
 
Back
Top Bottom