Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,344
- 9,845
- Thread starter
- #61
♪♪♪ Nataka nitokee kwenye gazeti ,niuze sura ♪♪♪kitu ambacho bado sijafahamu ni kwamba tumeibiwa kiasi gani?
maana kimkataba tulipaswa kulipwa 4percent of the value. hivyo kama wali under estimate kwa billion 885 tumepunjwa around 45billion plus may be a penalt. sasa ukizidisha mara miaka 18 hata haifiki trillion moja.
lakini hasara tutakayokuja kuifidia itazidi trillion moja kama tukishindwa kesi huko mbeleni. Kwa niini serikali ya Magufuli isiwaite kwanza uongozi wa kampuni husika ipande opinion yao na hata kuwaruhusu kufanya their independent analysis hata kupitia maabara zile zile walizofanyia serikali kuona je wamefikia same conclussion?
♪♪♪ ndundundu ndundundu ♪♪♪