Tutafute projects zisizokuwa za gharama kubwa

Tutafute projects zisizokuwa za gharama kubwa

Ni kweli kabisa
Ni usimamizi tu kwani kila kitu kinawezekana

Kabisa Mkuu, tulikuwa ni sawa na South Korea tulipopata Uhuru na nyuma kidogo sana ya China. Angalia walivyotuacha. Ni muhimu sana kujiamini, kuwa na uzalendo na kufikiria hili ni Taifa yetu wote, bila kujali kabila au dini.

South Korea, Japan na China wamecopy technology za wazungu kwa miaka ishirini sasa hivi wanakaribia kuongoza dunia.
 
Wakuu mnajifurahisha sio,

Okey hongereni ila sisi hatupangiwi tunafanya tunavyotaka

Tuna mambo mengi ya kufanya hizo budget mtatoa pesa wenye

Siha mpoooo

Kinondoni je mmeisomaaa
 
Kura [emoji109] za heshima . hii ndiyo italeta tija kuboost uchumi wetu kwa kufanya export nying na italeta pia tia kuja kwenye uhalisia wa mapinduzi ya viwanda maana malighafi zitakuwepo na nguvu kazi ipo pia

Mkuu, hivi mabalozi wetu kazi zao ni nini hasa? wawe wanalipwa kutokana na wawekezaji wangapi wanawalete nchini kwetu na mchango wao kwenye maendeleo ya nchi.

Sio kama post ya kumpa mshikaji mzee asiyefanya chochote cha maana. Kama kwa mwaka ajafanya kitu chochote cha maana anarudishwa nyumbani mtu mwingine anapewa kazi.
 
Mi nilipenda kama angalau kila kijiji kingepewa trekta. Gharama za uendeshaji wanakijiji wangejigharamia. Hili lingesaidia hata ktk hili wanalohubiri la 'viwanda'.
vipi kwa vijiji ambayo havilimi mkuu sio kila kijiji wanalima
 
asanteni wote kwa mawazo,nilitegemea mawazo ya miradi mingi,lol
 
Pia vijiji viwe na malengo ambayo yana shuhuli endelevu Zinazothibitika kabla ya kupewa msaada wawe wamejikwamua sehem ndogo ili kutengeneza sense of ownership na uwajibikaji ...hii itapunguza miradi ya ushirika kudorora kwani itahitajika juhudi za mawazo ,fikra, chanya na nguvu kabla ya misaada ambayo huweza athiriwa na sababu mbalimbali misaada ni kama ziada ya kile kilichopo msaada wa fikra chanya wa maendeleo kwa wanakijiji ni hazina bora kwa taifa kwan kitivo cha kuzalishwa jamii zetu nyingi huanzishwa humo ukiacha familia/ jumuiya
Unaweza kuta baadhi ya vijiji vina watu wanaoweza kuwa na ubunifu wa kiasili ambao unaweza saidia bado ulimwengu unasehemu nyingi za ugunduzi ila inahitaji kuthaminika kujengewa uwezo na kujitambua umuhimu wa kuwa mwanakijiji
Ila tukiwa hatujajitambua na hapo tuletewe pesa kutakuwa na maendeleo ambayo yanaweza yasiwe ya kudumu /endelevu
Wanakijiji wakitoa Ng'ombe kuku mazao kuinadi ili kuchangia miradi na kuisaidia serikali ni thamani kubwa sana na ukomavu wa fikra, uzalendo pia utayari wakupigania maendeleo na hii ndo fikra chanya inayohitajika.
Lengo likibebwa na mtu mmoja mmoja hatimaye vitu kama rushwa ubadhilifu na vingine havitaepukika
Asante mtoa mada hii mada ni nzuri san kwa maendeleo ya taifa.
 
Hizo milioni 50 kupelekwa kijijini sio suruhu, hapo solution ni kupeleka/ kuweka human essential needs kama umeme, maji ....

Otherwise tunapotoshana tu na badget zisizo eleweka
 
Back
Top Bottom