Wanajamvi,
Kuelekea mwishini kabisa mwa 2013, naomba tutafakari juu ya hii kitu ambayo kila mmoja wetu anachakarika katika kuitafuta FURAHA.
Je umeipata au umeikaribia?
Ilidumu kwa muda gani?
Ni muda gani in % umekuwa na furaha?
Ulifanya nini ili kuipata hiyo furaha?
Ulimkanyaga mtu kichwani ili uipate hiyo furaha?
Nini kilichokuondolea au kukupunguzia furaha?
Twenty forteen, utafanya nini ili upate furaha zaidi au furaha idumu zaidi.
Nawatakia mwaka mpya 2014 wenye furaha zaidi na itakayolast longer.
Loads of love
Kaunga
Furaha kwa neema yake mola. Binadamu wanazingua sana. Ubinafsi imeipiku ubinadamu na utu wake!
nimejitahidi kujipa furaha mwenyewe ila kuna wakati ili nibidi niwe mbinafsi ili kupata kile nachokitaka...... ila 2014 nikipata hela nyingi nahisi furaha yangu itatimia
Indeed, kila kilicho chema ni kwa Neema ya Mwenyezi Mungu.
Vipi mwa huu ulikuwa kind kwako na wewe hukuwa sababu ya kuwakosesha wengine furaha?
=====you are not correct, Sorry to say that. Shida yako wala sio pesa kama unavyofikiri. Shida ni people around your heart and brain nothing else. So unlucky that its so difficult to get them off your heart and brain, but its possible.nimejitahidi kujipa furaha mwenyewe ila kuna wakati ili nibidi niwe mbinafsi ili kupata kile nachokitaka...... ila 2014 nikipata hela nyingi nahisi furaha yangu itatimia
======shida yake sio hela. Ajitafakari vema!Miss chagga, ukiwekewa box 2 moja ina $ bil 1 na box lingine lina furaha, utachagua lipi?
too philosophical. Napita tu
This year was much better than 2012........2012 was a HORRIBLE year for me
furaha yangu iliongezeka mara mbili BUT that was when I start LOVING myself
and stop expecting someone to love me and make me complete.
namshukuru Mungu sana
naomba furaha yangu idumu
HAPPY NEW YEAR
kiukweli mwaka 2012 kwangu mimi haukuwa poa baada ya mpenzi wangu kunicheat but mwaka huu nimemwendea SUMBAWANGA aliyekuwa anampa kiburi na mambo yote yanaenda poa!
Huu mwaka 2013 kwangu ilikuwa 50/50. 2014 Mungu kwa uwezo wake namwomba anipe furaha na amani na uwezo zaid. Furaha naipata kwa kufurahisha zaid roho yangu,ukitaka kumfurahisha kila mwanadamu utaishia kuumia na ni vigumu. Tuwe na mwaka wa mafanikio na mibaraka tele 2014 kwa wanajf woote.
kiukweli mwaka 2012 kwangu mimi haukuwa poa baada ya mpenzi wangu kunicheat but mwaka huu nimemwendea SUMBAWANGA aliyekuwa anampa kiburi na mambo yote yanaenda poa!