Kaunga
JF-Expert Member
- Nov 28, 2010
- 12,530
- 13,467
Wanajamvi,
Kuelekea mwishoni kabisa mwa 2013, naomba tutafakari juu ya hii kitu ambayo kila mmoja wetu anachakarika katika kuitafuta; FURAHA.
Je umeipata au umeikaribia?
Ilidumu kwa muda gani?
Ni muda gani in % umekuwa na furaha?
Ulifanya nini ili kuipata hiyo furaha?
Ulimkanyaga mtu kichwani ili uipate hiyo furaha?
Nini kilichokuondolea au kukupunguzia furaha?
Twenty forteen, utafanya nini ili upate furaha zaidi au furaha idumu zaidi.
Nawatakia mwaka mpya 2014 wenye furaha zaidi na itakayolast longer.
Loads of love