Jindal Singh
JF-Expert Member
- Sep 9, 2015
- 1,853
- 1,521
Najaribu kufanya tathmini, manake dunia aichelewi kugeuka wajuu anaweza kuwa chini na wachini aweza kuwa juu na hii kutokana na teknolojia, uchumi na hari za kisiasa kugeuka. Sasa swali: Tutanzia wapi kupigana na mbabe US pindi Tanzania itakapokuwa The Great Empire na kutawala dunia ili i grab malighafi kwa ajili ya raia wake. Huu
ni uoni wa mbali sana japo watu wanadhani ni kitu cha kufikirika kwa
Watu wa kufikiri mambo nadhani wanaelewa. Hapa issue ni kuzipiga dola za ulaya na Amerika hii ndio ndoto aliyokuwa nayo Gaddafi.
ni uoni wa mbali sana japo watu wanadhani ni kitu cha kufikirika kwa
Watu wa kufikiri mambo nadhani wanaelewa. Hapa issue ni kuzipiga dola za ulaya na Amerika hii ndio ndoto aliyokuwa nayo Gaddafi.