tususie kuangali mechi za EPL!

kipindupindu

JF-Expert Member
Dec 16, 2010
1,053
170
kama ni kweli watanzania tunachukia ushoga ambao unaonekana kumiliki madaraka huko UK basi hatuna budi kususia kushabikia ligi ya uingereza ambayo ina mashabiki wengi hapa nchini.hii ni vita dhidi ya udhalilishaji wa mtanzania.kauli za kupinga ushoga ziendane na matendo yenye msisitizo.mods please tusitishe mara moja threads za team au ligi za UK kuanzia sasa.
 
Kwa jinsi watu walivyo addicted ni sawa na kuwakataza watu fulani wasinywe coca cola
 
Back
Top Bottom