Tusker project fame | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusker project fame

Discussion in 'Entertainment' started by ulimboka, Aug 29, 2009.

 1. ulimboka

  ulimboka Member

  #1
  Aug 29, 2009
  Joined: Aug 23, 2009
  Messages: 36
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi wajameni, nimekuwa najiuliza hii tusker project fame inakuwaje tuanze kwa kuvurunda wakati bongo flavor yetu inakubalika sana hapo jirani. Please assist me to think outside the box for i'm totally confused as to why we are not doing better on this.
  Wadau tafadhali
   
  Last edited: Aug 29, 2009
 2. O

  Omumura JF-Expert Member

  #2
  Aug 29, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 476
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Nafikiri umeona tena tulivyovurunda leo, kelvin ametolewa!sijui kuna relationship yoyote kati ya ufisadi na kuvurunda kwetu kwenye michezo!
   
 3. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #3
  Aug 29, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Yaani nyie kila kitu ni ufisadi??????tusker sio shindano la bongo flavour,
  english na nyimbo za kizungu ndo zinapewa kipaumbele
  shindano la bongo flavour lipo itv.....linaitwa bongo star search
  wabongo tunavurunda kwa sababu wanaojitokeza kwenda tusker sio wengi sana,na watanzania wengi wanatazama bongo star search na sio tusker pf.sababu moja ni lugha inayotumika kuendesha shindano hilo,na kwa kuwa watanzania wengi hawatazami na kura za watanzania zinakuwa chache so wakenya wanakuwa na advantage,
   
 4. Joloe

  Joloe Member

  #4
  Aug 31, 2009
  Joined: Jun 19, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiongozi hapo hata mimi naku suport. Na kingine ni kuwa hawa wenzetu wanatumia zaidi lugha ya kiingereza na hiyo ni advantage kwao coz hata nyimbo zinazoimbwa pale ni kiingereza tu. Sisi mpaka ufikrie kwa kiswahili halfu utafsiri kwa kiingereza.
   
 5. r

  rosebella Member

  #5
  Aug 31, 2009
  Joined: Jun 23, 2008
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  naomba kujua chanel na muda wa kurushwa hicho kipindi plz...
   
 6. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  TBC1 na nikila jumapili saa 2:00 usiku.
   
 7. I

  Isae Member

  #7
  Aug 31, 2009
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 79
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  The problem yetu sisi wabongo ni kushindwa kujua what to do. Tusker Project fame or BSS unachagua mwenyewe nyimbo ila hao washindani wanashindwa kufanya hivyo. ukiangalia walivyoimba Watz kweli unajua kabisa wanatoka. Pia kuvote we TZ tunaignore
   
 8. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  ahahaha umenichekesha.....hamna mbona hao participants wa TZ wanaimba vizuri tu.... i dont think ni kiingereza, vocals zao ziko weak
   
 9. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  pia jumamosi 730pm, hapo ndio walio kwenye probation wanapewa verdict..its the eviction night in short. jumapili ndio performances and kuwekwa probation.
   
  Last edited: Aug 31, 2009
 10. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hivi hakuna uonevu kweli ...hasa kama kwa huyu mdada carol....??
   
 11. simplemind

  simplemind JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2009
  Joined: Apr 10, 2009
  Messages: 11,806
  Likes Received: 2,579
  Trophy Points: 280
  I beg to differ ,wenzetu wa Rwanda kingereza kinawapa tabu (hawa walikuwa francophone) lakini shuhudia jinsi ALPHA anavoshine.Mwisho mtajaribu kutuconvice kuwa Kenyans are good runners kwa sababu wanaongea kingereza safi.If the truth be told perfomance be it sports,elimu,uchumi unatokana na mambo mengi ambayo labda sadly sisi (tz)hatuna.
   
 12. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  I think Carol is beautiful lakini her vocals are very weak...and she kind of cant hit high notes, sijui kama wiki hii atapona! hakuna cha uonevu kabisa hata wewe ukiwa sio jaji unaona kabisa she aint very compettitive. she is not entertainingat all! plus mbona Nina wa Rwanda amerudishwa tena probation???simply coz she didint up her game from last week!
   
 13. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #13
  Aug 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  simplemind Thank you for hitting the nail on the head!!!!
   
 14. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  According to me Tusker pf is a fraud, The main reason for this is that they usually mess up on the audition, criteria yao yaku wachukuwa perticipants ni duni, at least they have upped their game kidogo this season. They at times leave out great singers and select some people just because of their looks, humor, and other things which do not in anyway relate to what they are supposedly looking for (if we assume its not comedy or acting).

  I dislike some of the judges eg Ian, because he plainly imitates other critic judges like Naijo of the 'so you think you can dance' competition. Looking at the amount that EABL has invested for the show, someone somewhere is pocketing a hell load of money, judging from how the participants dress and such stuff.
   
 15. Magpie

  Magpie Member

  #15
  Aug 31, 2009
  Joined: Aug 26, 2009
  Messages: 70
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sisi watanzania hatuna bahati nzuri na haya mashindano, toka ya anze washiriki toka tanzania hawafiki mbali...tunatolewa mapema...just because we are not that good,..lakini cha kushangaza watanzania wanao tolewa mapema, wanapo rudi nyumbani na kutoa nyimbo zao wana hit vibaya sana...kuliko hata hao washindi wao..ukiangalia Nakaya...na sasa Hemed...wanfanya vizuri sana...
   
 16. Mbonea

  Mbonea JF-Expert Member

  #16
  Aug 31, 2009
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 640
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  uko ryt mkuu! Hv kwa nn? maana angalia hata Bss washindi huwa hawafanyi la m,aana ss nashindwa kuelewa wanashindaje?.
   
 17. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2009
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  I totally agree with you Smatta.
  Mimi niliona during audition ya Tanzania. Nafikiri majaji nao walikuwa watanzania. I could not believe my eyes kwani walichagua watu DUNI sana and they left the greatest ones. Kila mtu alishangaa kabisa. There are so many Tanzanians who could shine lakini hawa waliochaguliwa hawafiki kokote. I really think something is very wrong during AUDITION. Na wale jamaa walikuwa ni watz, nadhani they (tz Judges during audition) are not competent kabisaaa. You can see by yourself now jinsi hao waliochaguliwa wanavyohangaika. So to me it is not the question ya lugha no not at all. Problem this time ilikuwa kwenye Audition. Very great singers were left out.
   
  Last edited: Aug 31, 2009
 18. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  hata mimi ilinishangaza, kuna bias sana katika hii competition, they failed terribly on the planning, uli notice kwa season 2 it was definate that a UG was to win, I am 101% sure that this time ni mtanzania ndie ataibeba, it doesnt matter if he has a talent or not.
   
 19. Shishi

  Shishi JF-Expert Member

  #19
  Aug 31, 2009
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,244
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135

  kwani is it on a rotating basis..just coz TZ has never won..i dont think Caroline and Illuminata have what it takes. they are up for eviciton remember! and one of them is definitely going home come saturday! i think a ugandan is taking it again!
   
 20. Smatta

  Smatta JF-Expert Member

  #20
  Aug 31, 2009
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 2,343
  Likes Received: 277
  Trophy Points: 180
  Thats where they flop major, its on a rotation basis, they have to apease TZ because of the Nakaya issue, everyone knows that she deserved to bag the award in the first season, but it was thrown to a non deserving Kenyan (maybe to gain fans from the host country). They would have given the award to Tanzania last year, but the favourite participants i.e Hemedi and Insp Feli were not good enough, but this year trust me, hii award inaenda Bongo, even if the Tanzanian are in probation, they will find a way to make them stay (read rigging). Am not such a fan of the prog, but I'd like to see it unfold.
   
Loading...