Tusker Challenge Cup Updates

Afadhari kuokota Garasa kuliko kutoka uwanjani kichwa chini....Mtoto akililia wembe mpe!
 
Afadhari kuokota Garasa kuliko kutoka uwanjani kichwa chini....Mtoto akililia wembe mpe!

Nia ilikua kuifunga yebo2....kwa hiyo baada ya yebo2 kutolewa Simba wakaona taska haina ladha tena.:(
 
Nia ilikua kuifunga yebo2....kwa hiyo baada ya yebo2 kutolewa Simba wakaona taska haina ladha tena.:(

Sio kweli mbona wali fight sana lakini ndo hivyo Simba kiwango kipo chini huwezi linganisha na Yanga kwa kila idara.
 
Wote vibonde but Yanga wachezaji wengi walikuwa na Stars ,hawakupata muda wa kujiandaa
 
Kama kawaida nitawarushia full details za matokeo na picha za mechi ya mtibwa toka Nifahamishe dakika chache baada ya game
 
Mshaanza visingizio sijui kura za kihuni... fungu la kukosa la kukosa tu..

Masatu vipi? Tupe updates za leo. BBC swahili nao wanatangaza upuuzi wa nyimbo tu badala ya kuweka programme za kawaida ikiwemo sports.

Msatu?
 
Back
Top Bottom