Tusiwasingizie wasaidizi wa JK Kamwe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiwasingizie wasaidizi wa JK Kamwe

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Johnsecond, Nov 9, 2011.

 1. Johnsecond

  Johnsecond JF-Expert Member

  #1
  Nov 9, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 1,077
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  JK anapenda kusikiliza anachopenda, na kuona mtu anafanya anachokipenda yeye, mbishi hawasikilizi watendaji wake. Ndio maana wako ladhi waongee kitakachompendeza. Sasa huu ubishi unanichanganya kwani yeye ni mfupi? au link kati ya ubishi na ufupi kuna definition nyingine? kama ufupi wa mawazo?
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  Nov 9, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kama kuna kauli ya kijinga ni hii: JK ANAANGUSHWA NA WATENDAJI WAKE.
  mtu anayesema hivi ujue anakameruniwa
   
 3. Amiliki

  Amiliki JF-Expert Member

  #3
  Nov 9, 2011
  Joined: May 6, 2011
  Messages: 2,087
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Je yeye ni Dodoki! Vinginevyo achukue za Kwake achanganye na za Cameroun. Mbayuwayu
   
 4. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #4
  Nov 9, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 17,982
  Likes Received: 729
  Trophy Points: 280
  Uongozi kazi wazee,ndio maama ya hii shaghalabagala.
   
Loading...