Tusiwasahau Wazee Kiasi Hik Aisee.

KIOO

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
6,154
5,680
IMG-20180602-WA0059.jpg
 
umetoka machozi? hahahahah..wewe kweli umeshiba ugali na maharage!

Nadhani aliyeshiba ugali na maharage utakuwa ni wewe aisee niliposema nimetoka machozi ni wapi mkuu...?

Hahah.
 
Halafu unakuta mtu anakuambia mambo yangu hayaendi
Bora uwafunue upeo baadhi ya watu
Ni vizuri kukumbushana ila kujisahau kwa mzazi ni laana fulani hivi

Ni kweli unachosema aisee kuna mambo mengine huwa hayaendi sawa kwa sababu ya kuwaweka mbali wazee wetu mkuu.
 
Halafu mtu kama huyo akisikia baba yake amekufa unakuta analia msibanu hadi anazimia. na msiba ukiisha anaenda kuchora chata kifuani anaandika i love you dad.
 
Kabisa mkuu.

Kwa mara ya kwanza tu nilivyoisoma nikajikuta nashika simu na kuwapigia wazee japokuwa siku hiyohiyo nilikuwa nao lakini nikasema hapana aisee acha niwapigie.

Wazee ndio kila kitu mkuu.
Hawakusema kwamba walidhania sim zao ni mbovu... tehteehhh
 
Back
Top Bottom