Tusiwalaumu sana polisi, mfumo wa kuwapata ni shida pia

Candela

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2021
Posts
857
Reaction score
2,289
Katika vitu tulifeli kama nchi ni suala la upatikanaji wa polisi.

Walio wengi wanapatikana baada ya kufeli shule, yes asilimia 90 ya askari walio huku chini wanaosota barabarani ni waliofeli shule

Sasa tuje hapa kwenye shule. Mara nyingi shule kunakuwaga na wale jamaa hawapendi shule, wahuni wa darasa, wezi wa mali za wanafunzi wenzao. Hawa ndio wengi huishia kuwa askari polisi. Mara nyingi hawana uwezi mkubwa kiakiri so hata akiacha uaskari akili yake haiwezi kufanya kitu kingine.

Ndio maana ni Nadra sana kukuta askari anajiongeza biashara au kitu cha ziada akiwa askari. Hata akistaafu wengi huwa hawana uwekezaji kwa sababu akili zao ni ndogo mno.

Sasa kinachoendelea sasa ni hao vilaza wamepewa nafasi kusimamia sheria za nchi, nafasi ambayo ilitakiwa mtu mwenye angalau C tano O level.

Hiyo nafasi kapewa mtu mwenye F na D za kutosha. Kapewa mtu aneamini atawakomesha.
 
Tema mate chini kaka ,jeshi lipi unalosema lina vilaza ndugu ?

Jeshi ambalo ambalo madaktari wamejazana ? Sehemu ambayo si maengineer tu hata watu wenye CPA wapo kama wote ? Jaribu kuchunguza tena jeshi la miaka ishirini sio la leo kaka .

Je unazungumzia jeshi lote au baadhi yao ,nikiri kuwa wasomi katika jeshi la polisi ni wengi kuliko inavyodhaniwa ila niseme wazi kuwa vilazq wapo na ndiyo wanaishiria kwasasa maana wamezeekq hivyo usiseme wote ni vilaza sio kweli.
 
Tatizo ni katiba yetu ndo inawafanya waonekane wabaya lakini kama katiba yetu na mazingira ya kisiasa vingekua poa basi huo ukilaza wao usingeonekana kwa sababu hata hao ambao unasema walikua wakorofi shule ndo walienda upolisi basi Sheria,kanuni na taratibu vingewafanya kua watu wema.
 
Tema mate chini kaka ,jeshi lipi unalosema lina vilaza ndugu ?

Jeshi ambalo ambalo madaktari wamejazana ? Sehemu ambayo si maengineer tu hata watu wenye CPA wapo kama wote ? Jaribu kuchunguza tena jeshi la miaka ishirini sio la leo kaka .

Je unazungumzia jeshi lote au baadhi yao ,nikiri kuwa wasomi katika jeshi la polisi ni wengi kuliko inavyodhaniwa ila niseme wazi kuwa vilazq wapo na ndiyo wanaishiria kwasasa maana wamezeekq hivyo usiseme wote ni vilaza sio kweli.
Police ni vilaza bwana,juzi kati tu hapo poti mwenye cheo cha kwenda anaulizwa PGO hajui aaah ebu acha kutetea ungese aisee!!!
20260317_212847.jpg
 
kumbe nilifanya vizuri kumkataa yule askari kibonge,, leo hii ningekua naonekana nimeolewa na mwanaume jizi, hajielewi, form four failure na wala hana akili za maisha uwih😥😥

nimelia mpaka kupaliwa na machozi🤣🤣🤣🤣
 
win-one mambo
20251201_102515.jpg
 
Tema mate chini kaka ,jeshi lipi unalosema lina vilaza ndugu ?

Jeshi ambalo ambalo madaktari wamejazana ? Sehemu ambayo si maengineer tu hata watu wenye CPA wapo kama wote ? Jaribu kuchunguza tena jeshi la miaka ishirini sio la leo kaka .

Je unazungumzia jeshi lote au baadhi yao ,nikiri kuwa wasomi katika jeshi la polisi ni wengi kuliko inavyodhaniwa ila niseme wazi kuwa vilazq wapo na ndiyo wanaishiria kwasasa maana wamezeekq hivyo usiseme wote ni vilaza sio kweli.
Wewe hujatuliza kichwa kusoma vizuri.
Kasema Polisi wanaofanya Operations za huku chini achana na wale makamishina ambao ndio hao unaowasema wewe japo na wenyewe pia wako makundi mawili kuna ambao walikuwa failure zamani kisha wakajiendeleza wakiwa kazini hadi kuja kupata degree.
Ni wachache mno ambao waliingia wakiwa na degree tayari haya pia inabidi ujue kuyatofautisha.
 
Tema mate chini kaka ,jeshi lipi unalosema lina vilaza ndugu ?

Jeshi ambalo ambalo madaktari wamejazana ? Sehemu ambayo si maengineer tu hata watu wenye CPA wapo kama wote ? Jaribu kuchunguza tena jeshi la miaka ishirini sio la leo kaka .

Je unazungumzia jeshi lote au baadhi yao ,nikiri kuwa wasomi katika jeshi la polisi ni wengi kuliko inavyodhaniwa ila niseme wazi kuwa vilazq wapo na ndiyo wanaishiria kwasasa maana wamezeekq hivyo usiseme wote ni vilaza sio kweli.
Soma tena uelewe, hao mapolisi wa CPA hawawezi kutumwa kuteka watu. Na ndio wako hiyo 10%.
 
Kaka unajua kuwa kuna askari leo utamkuta maybe ni sajenti na baada ya miaka miwili utamkuta ni mkaguzi wa jeshi la polisi na ikiwa atadumu kwenye miiko na nidhamu za sera ya polisi anaweza kufika level ya viambata vya ukamishina ikiwa umri wake utaruhusu?

Je unajua huyo mtu kwanini afike huko ni kwasababu aliingia kwenye jeshi la polisi either akiwa na elimu yake na alianzia chini ,sasa kwenye hizo operation ni mara ngapi umewakuta masajenti ,makoplo ,na staff sajenti sababu hawezi kutumwa ajira mpya kazi zinazohitaji umakini

Hivyo naendelea kusisitiza kuwa elimu ya jeshi la polisi acheni kuipima kwa kuangalia vyeo ,kule sio elimu ndiyo itakimbilia kukupa cheo ila maadili na miiko ya kupewa hiko cheo hivyo narudiq kusema hata wale wanaoshinda kulinda benki sio wote ni form failure ila ni vile yawezekana promotion ya kile alichonacho haijafanyika au itafanyika la zaidi usisahau kuna muda nafasi zinatoka ila haziinclude watu fulani wa kada fulani ni hapo watu kut9kana na ugumu wa mtaa wanaamua kutumia vyeti vya madarsa ya chini kupata nafasi .

Ninao ushahidi tukibishana sana nitakupa ushahidi usio na shaka na wewe unipe ushahidi kaka
 
Back
Top Bottom