Tusiwaingize wachungaji majaribuni jamani@@!!nao wanahisia;wanapenda ;wanatamani kama wewe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tusiwaingize wachungaji majaribuni jamani@@!!nao wanahisia;wanapenda ;wanatamani kama wewe

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, May 12, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  May 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,484
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  Unajua Wachungaji nao ni binadamu;;kuna watu wanafikiri ukiwa mchungaji uko kama MUNGU NO ..ni vyema tukawaepusha kwenye majaribu napale unapoona anayakaribia sio mbaya mkamtaarifu mapema huko kanisan kwenu....kule mbeya kuna mchungaji alikutwa amemmbaka mwanamke sikumbuki ile kesi kama imeishia wapi wana uyole mwaweza kutumegea ila ukweli halisi waumini mmekuwa kishawishi kikubwa kwa hawa watu wa Mungu

  Imefika sasa kuna wachungaji wanaanza kuwaombea waumini huku wamekuwambatia na wengine wananena kwa lugha kabisa raboshangaraba...ni kweli uponyaji waweza pokea lakini wewe mwanamke mke wa mtu utakumbatiwaje kwa maombi wapi wamesema wanaombewa lazima washikwe ...ndugu zangu nawaasa kweli tutachomwa moto sisi wenywe kule arusha kuna wakati kanisa moja mchungaji akiwa anawaombea watu akimwona mwanamke aanaanza kumshika huku anakeemea mara anakumbataia mara roho wa mungua kanionyesha nifunge huu mlango mara anaelekea kuzima taa wwewe mke wa mtu unazima taa kisa umesikia yesu alikuwa na maombi ya usiku weeeweeee acheni jamani..yesu aliomba kwenye mwanga ,,, mnakuja kuletea waume zenu mimba ZA WACHUNGAJI mkome kabisa jamani hii sio tabia nzuri..dunia imebadilka sana zamani makanisa walikuwa wanawake wanavaa kwa heshima leo hii mwanamke anaingia na kimini ukienda kanisa moja karibu na nyu afrika najiuliza hivi wachungaji wanashindwa kuweka wazi ama ndio mambo ya sadaka sisemi hilo tu yapo mengi....nasema na wewe mume uksikia mkeo anaombewa nenda nae acheni kuwafanya wake zenu kama sio mabinti sayuni wajalini.......nimesema hivi nikukumbushe wewe unaevaa mavazi yule mchungaji sio Mungu Binadamu kama wewe anahisia anatamani anajua kupenda kama Mumeo ama boyfriend wako tusiwaaingize watumishi majaribuni jamani

  Makanisa mengi yamekuwa yakihbiri maneno mazuri ya Mungu lakini wakifika kuangalia mavazi ya waumini wao kwa kweli ni hatari..ni aibu najua kweli kuna kusaka ndoa..lakini isiwe hivi ..muwe na subira mume mwema hutoka kwa bwana..na nyie watumishi wa Mungu tuache kukumbatia waumini sio lazima uponyaji upatikane kwa kukumbatia ..mwisho wa siku waulizeni kanis moja karibu na kimara bucha miaka ya 2002 yaliowatokea sipendi yawafike...

  Mungu awabariki
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  May 12, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Makanisa yamegeuka nyumba za biashara siku hizi!
   
 3. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #3
  May 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,484
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280
  lizy m na wewe tunaitaji kuombea sana sana we acha tu..ukifikika huko watakwambia ""DONT TOUCH MY ANNOINTING"""we waombee Mungu atawarekebisha
   
 4. A

  Aine JF-Expert Member

  #4
  May 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,613
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Ee Mungu utuhurumie, utusamehe na utukumbuke siku ya mwisho maana sisi ni wanao, na hatimaye hiyo Mbingu tunayoisikia siku moja tuingie huko tukae na wewe milele, Amina!
   
 5. s

  seniorita JF-Expert Member

  #5
  May 12, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 674
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Wao wanapaswa kujua zaidi na wamepewa zaidi ya kondoo wao wanaowaongoza; wasiwatie kondoo majaribuni maana kwa kwa kweli Kiafrika pastor wako akikuomba utamkatalia? Ila kama hajaomba kondoo watakaa mbali na kuwatii...wachungaji msile kondoo wenu, mmepewa kazi ya kuwachunga, kuwalisha nk....vinginevyo mtakuwa wachungaji wabaya see Ezk 23, Mungu atawanyang'anya kondoo na kuwachunga mwenyewee halafu mtakula wapi?
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  May 12, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,484
  Likes Received: 5,721
  Trophy Points: 280

  sasa weewe unawakatilia alafu mwisho unaataaka waendelee kuwala si watatumaliza..tatizo sie nasi unajimaliza ..m ninachoomba wacha shetan amwingie yeye lakini sio wewe kufanyika nira..m nakwambia nimeona makanisayetu mengi ya kilutheri yanavyoteseka na wanakwaya na mwisho kesi kumalizwa na watumishi hawa ...pale moshi kuna wanakwaya waliaribu kumbe dada mmoja mjini kashagawa karibu kwaya nzima kakammoja akahisi ndio kile "" mke mwema ämetoka kwa bwana"""" weeeeeeeee akaanza kumshambulia mwenzake wengine wakabaki wanacheka ile kesi ikafika jamaa alieliwa mtarajiwa ndie kinanda mkuu akagoma kupiga mpaka kieleweke..alipokuja kwa mzee wa kanisa mmoja kusuluhisha akala mzigo...yule dada alipoona akuna dili akamwambia yule kaka aachane nae mbona ametoa kwa huyu yue na hayta huyo msuluhishi wako nae nimempa....alichofanya kuhamia Dar yuko kampuni moja ya mhindi...yule mzee wa kanisa uwezi amini alivyokuwa anaaminiwa na mbaya yule binti akaita baadhi ya wamam na kuanza kueleza uchafu wake..wamama wakashupalia mzee wa kanisa angolewe kwenye sadaka michango sijui ya mavunoo jama anacheza na laki 5 kuuendelea..ikawa ngumu..so sio tu kuwaepusha majaribu bali tuwaombee pia
   
Loading...