Tusitishane: Hakuna maisha baada ya kifo!

Kabla hujazaliwa unakumbuka nini kuhusu huko ulipokuwa!? Je uhai ulianzia wapi kuwa wewe mpaka ushindikane ukifa!?
 
Ngoja tufe tuone itakuajee,,atakayefatia kutangulia mbele za haki kati yetu pliz tunaomba utupe mrejesho ili kuondoa huu utata
Akitoa mrejesho atakuwa hajafa huyo.. sijui Kama wengi wenu mnaelewa maana ya kifo mnanishangaza mno.
 
Mtu akifa anasehemu mbili tubza kwenda kwa Sasa
1. Kuzimu. Huku huenda wale wafao katika dhambi kwa nyakato zetu


“Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake.

— Luka 16:23. Baada ya vita vya Gogu na magogu wale walio kuzimu wataenda jehanum moja kwa moja. Biblia inasema Ni ziwa la Moto


2. Paradiso au peponi. Hapa huendabwale waliokufa katika Kristo Yesu
“Yesu akamwambia, Amin, nakuambia, leo hivi utakuwa pamoja nami peponi.

Luka 23:43 .

Huko peponi, waliopo wanaonuwezo wa kuwasailiana. Biblia inasema
“ya kuwa alinyakuliwa mpaka Peponi, akasikia maneno yasiyotamkika, ambayo haijuzu mwanadamu ayanene.

— 2 Wakorintho 12:4

Baadabya ufufuo wa wafu katika Kristo, wataishi pamoja na Bwana milele
 
Usikubali hisia zako zikuongoze vibaya
Kwani ukiacha dhambi utapungukiwa na Nini ?
Ukiamini kuna maisha baada ya kifo then usiyakite Kuna kitu utakua umepungukiwa ?
Utafute uso wa bwana
Jifunze hesabu za kutoa mkuu! Kama nisipoandika sipungukiwi basi hata nikiandika ni yaleyale..
 
Umesahau kutupa ushahidi wa haya unayoyasema.
Jibu fupi na rahisi ni kuwa huwezi kupata ushahidi wa kitu ambacho hakipo! Ukiona umepata ushahidi wa ambacho hakipo basi jua kipo otherwise wanaosema Kuna maisha baada ya kifo waje watupe ushahidi maana wao wanaamini yapo.
 
Ng'ombe hawajihusishi na haya mambo lkn wanaishi bila hata kuharibikiwa! Itakuwa ni upuuzi sisi wenye akili kulalama kuharibikiwa kwa kujua misingi mbalimbali!..
Nyie ndo mnaoharibu maana mnaogopesha tu na sio kujenga! Kama mafundisho yenu yangelikuwa yanafaa zaidi basi dunia ingeimarika zaidi lkn kila siku mnazidi ku update kilichoandikwa na Mkuu wenu asieshindwa! Sijui ulishawahi kufikiri hili..?
 
Namaanisha kabla ya kufanyika kwako I mean hata huko kutungwa bado.
 
Usikubali hisia zako zikuongoze vibaya
Kwani ukiacha dhambi utapungukiwa na Nini ?
Ukiamini kuna maisha baada ya kifo then usiyakite Kuna kitu utakua umepungukiwa ?
Utafute uso wa bwana
Mimi sio pretender.
 
Huu ni mtazamo wangu na ndio maana hakuna reference toka kwenye kitabu chochote!.

Kama unafikiri swala la kufikiri uliwaachia waliopita tu na wewe hufai kufikiri kuhusu hayo basi jua wewe ni Kama bendera fuata upepo!. Kama unutafuta ukweli juu ya maisha yako usifikiri ukweli huo upo mbali! Maana hata wewe ni sehemu ya uhai ambao ni maisha!.

Kauli tamu na fikirishi ni it's your choice!..
 
Mkuu vitu vingi kwenye hizo nukuu zako ni mifano tu
Biblia inasema wafu hawajui chochote, then wafu wawe wanaongea, nini maana ya kufa sasa.
Ikiwa wanaongea maana yake wote wapo hai
Kifo kinafananishwa na usingizi
 
Hayo maisha baada ya kifo hata yangekuwepo hayana maana yoyote kama haya ya sasa yalivyo hayana maana..
Bora mtu uwe haupo mahala popote yani zaidi ya usingizi.
 
Binadamu kwa ujumla tunaishi ulimwenguni kila mmoja wetu /ama makundi yakiwa naimani flani inayohusisha maisha baada ya kifo. Kuna wapagani wao wanaamini kwamba ukifa ndo imeisha hiyo, hakuna next life.

Kuna wenye dini (wakristo na waislam) kwa namna wanavyoamini kwamba kuna maisha baada ya kifo kutokana na mafundisho wanayofuata.

Kwa hiiyo ni hiyari yako kuamini ama kutoamini kwamba kuna maisha baada ya kifo kwa sababu kila nafsi itaonja umauti kwa namna na wakati wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…