ielewemitaa
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 8,644
- 7,311
Nimekuuliza swali hawa walikuwa waarabu ?Mnapaswa muache watu wajiamulie mambo ya imani, nani wa kumuabudu, wahubirieni sio kuwachinja, mnaingia kwenye basi na kutea na kuua abiria kisa hawamuabudu huyo muarabu wenu
al-Shabab armed group have hijacked a bus in Kenya and killed 28 non-Muslims on board after singling them out from the rest of the passengers.
Bus passengers massacred
Somali group says non-Muslim passengers shot dead in revenge for Kenyan police raids on Mombasa mosques.www.aljazeera.com
Basi sasa enda ukawapige Amaleki, na kuviharibu kabisa vitu vyote walivyo navyo, wala msiwaachilie; bali waueni, mwanamume na mwanamke, mtoto naye anyonyaye, ng'ombe na kondoo, ngamia na punda.
1 Samueli 15:3
Jibu swali acha mboyoyo kijana , ruhusa kama hizi alitoa Mungu wa biblia vip alikuwa kalewa mbege?