Marais wao ndio waliotakiwa kuja Tanzania kujitambulisha Kwa mama..not the other way around... Magu alikua na downsides zake lakini katika kujimwambafai alikua top notch.
Kuna kipindi strategy ya kujiona fahari inasaidia sana. we should be a donar kantri..sio kuomba SULUHU Kirahisi, tuna hips na makalio makubwa, tutembee Kwa madaha na tusikalie uchumi.