macho_mdiliko
JF-Expert Member
- Mar 10, 2008
- 21,457
- 38,702
Ni kweli na najua. Hili linahitaji commitment ya hali ya juu sana ambayo pengine hatuna. Siyo viongozi kama kina Ndungai wataweza hili jambo. Lakini kama tumeshindwa hilo, wewe unafikiria la wawekezaji tutaweza? Tena ndiyo tutafeli kweli kweli. Uwekezaji siyo tu watu wenye mitaji kuja. Kuna zaidi ya hilo.Miaka 60 hatjjaweza tujekuweza leo,huo utakuwa ni wivu na roho mbaya kisa wenyewe tumekuwa wazembe na wavivu.