Landcruser
Senior Member
- Mar 24, 2017
- 179
- 344
Hahahaha logic
Nafurahi kuona uwepo wako chief [emoji2] [emoji2]Hahahaha noma sana
naona kaamua kubadilisha peni tu [emoji23] [emoji23]mbona muandiko wa muuliza swali unafanana na aliyejibu...
Kwa neno moja sijui lakini ni uwezo wa kuwa na akili nyingi.genius kwa kiswahili anaitwaje?
angalia mfanano herufi kwa herufi...naona kaamua kubadilisha peni tu [emoji23] [emoji23]
Nadhani ni kichekesho tu. Nimekichota sehemu. Usiumize sana akili ndg.angalia mfanano herufi kwa herufi...
hahahaa
nilikuwa nahitaji jina moja tu.
Banafsi sijui. Hilo swali litupe jukwaa la lugha labda utapata jibu kule.nilikuwa nahitaji jina moja tu.
Mwenye akili nyingi =high IQ
Afadhali na wewe umeliona hilo.... Halafu mwandiko ni wa kiutu uzima kabisaambona muandiko wa muuliza swali unafanana na aliyejibu...
Hahhahah hayana tofaut na maswali ya Tafuta umri wa juma.
Anaitwa kipangagenius kwa kiswahili anaitwaje?