Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,804
- 8,799
Hahahahaa!! kweli? bac kazi tunayoTutatumiwa Covid21 sasa ili kucompasate
Lissu alileta mchaka mchaka, data zilionyesha mfalme J anapata 30%. Mahera aliamuriwa ushindi lazima uwe 80+%. Wakasahau matakwa ya Serikali ya vyama vingi. Matokeo ni aibu kulazimisha upinzani uchukue viti maalum hisaniMzigo hawajautumia kwenye campaign kweli!
Nape nnauye ni viti maalum, rasimu majaliwa ni viti maalum nkLissu alileta mchaka mchaka, data zilionyesha mfalme J anapata 30%. Mahera aliamuriwa ushindi lazima uwe 80+%. Wakasaha matakwa ya Serikali ya vyama vingi. Matokeo ni aibu kulazimisha upinzani uchukue viti maalum Hispania ya kina mama.
Inamaana tuliweka msiba tukafunga turubai wakati hatujafiwa?Sina haja ya kusema mengi, ila mada ipo hivyo. Nchi imepakwa matope sana na muda tuliopewa wa kujieleza wa masaa 48 unaenda kujikita mwisho. Je tusiporudisha hizo pesa za Corona za EU nini hatima yetu? Je ndege zetu zinaweza kukamatwa tena? Na hizi pesa uwa zinafikia wapi je ni mtoto wa dada ndio anazilinda? Na kwanini kulikuwa na usiri mkubwa katika kupewa hizi pesa?
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Afadhli kuwa mkulima wa jembe la mkono kuliko kuwa Waziri wa mambo ya Nje awamu hii.
Imagine yule goigoi kazi yake ni kupaka matope halafu waziri wa mambo ya nje kazi yake ni kupiga deki!Afadhli kuwa mkulima wa jembe la mkono kuliko kuwa Waziri wa mambo ya Nje awamu hii.
Wazungu wanamtaka Mbeligiji ndiyo awe Raisi wa Tanzania, maana wameona Magufuli hasomeki ana wabania sana!!Kwani walitupa za nini? Na sasa wanataka zirudi kwanini?