Joachim Alexander Nangale
Member
- Nov 25, 2020
- 34
- 26
Jembe linatisha eti!ukizingatia mtu umetolewa jalalani ni kheri kukomaa tu,kweli sijui hatima ya pesa hiyo ni Nini.Afadhli kuwa mkulima wa jembe la mkono kuliko kuwa Waziri wa mambo ya Nje awamu hii.