Rufiji dam
JF-Expert Member
- Feb 20, 2020
- 3,803
- 8,794
Sina haja ya kusema mengi, ila mada ipo hivyo. Nchi imepakwa matope sana na muda tuliopewa wa kujieleza wa masaa 48 unaenda kujikita mwisho. Je tusiporudisha hizo pesa za Corona za EU nini hatima yetu? Je ndege zetu zinaweza kukamatwa tena? Na hizi pesa uwa zinafikia wapi je ni mtoto wa dada ndio anazilinda? Na kwanini kulikuwa na usiri mkubwa katika kupewa hizi pesa?
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app
Sent from my SM-J260F using JamiiForums mobile app