Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo

Kuna siku utaikumbuka hii mada.. Na itakuwa ni too late kujua kuwa si kila kitu ni propaganda za kisiasa... Uiwaza hivyo ni wazi kabisa una mawazo kimo cha mbilikimo
Taarifa hii ni kumbukumbu rasmi kwenye hansadi za Jamvi! Nina hakika siku moja itakuwa reference!
 
Inaelekea kama kawaida ya JPM yeye priority take ni kujenga tu hajali ubora wa miundombinu husika; wewe anagalia ubora wa barabara zilizojengwa akiwa waziri ndio utajua ninalojumuisha hapa!! Akili yake inampeleka kuwa na quqntity na sio quality na hivyo kama hiyo SGR itajengwa bila kuzingatia hayo yaliyoainishwa na Mshana jr bila shaka huko mbele kutakuwa na kilio kikubwa na wakati huo NGOSHA hatokuwepo!!
Mtoa mada ameandika kitu cha msingi ila unataka kutuvuruga makusudi tuone hata ushauri mnautoa si kwa lengo jema. Kielimu chako kidogo kitumie kujifunza why makampuni yanayojenga barabara zetu ni ya kichina na ya kibongo tu na siyo ya kimarekani ama ya kizungu?
Kosa la JPM linatoka wapi? Yeye ndiye alikuwa Rais wa kuamua barabara fulani ijengwe kwa gredi gani na kwa gharama kiasi gani?
 
Watasema wewe sio mzalendo, kwa vile mzalendo katika zama hizi ni kukubali tu bila kuhoji hata kama udhaifu unaonekana!!
 
Acha mambo ya chuo chenu uchwara udsm ambacho hata workshop hakuna

Wewe ni idiot, Tangu lini wanafunzi walioclaim notes wa udsm wakajua Practical, Pale coet kuna nini cha maana zaidi ya walimu kuwajaza wanafunzi takataka za notes
Tukiwa na watu wengi kama wewe mliodidimia vichwa, kama hilo tuta la SGR ,no wonder vichwa vyenu havina solutions kwa masuala ya teknolojia.
 
Ukisoma kwa makini kampuni za kichina huwa hazitoi tenda kwa kampuni yeyote ya nje ya China
Naomba uje pwani ujionee tusibaki KUBISHANA hapa.. Hatutafika popote..... Wenye viwanda huku pwani asilimia 90 ni wachina.. Naishi pwani naishi nao kwa karibu mno wanagawa baadhi ya kazi kwa wengine
Lakini yote juu ya yote nimetoa angalizo nini kinatokea pale Soga sijalaumu mtu... Nimetahadharisha kuhusu maafa yanayoweza kutokea huko mbeleni kama tusipokuwa makini sasa
Hata kama aliyejenga Ethiopia sio mchina... Lakini hii mada bado ina hold grounds kutokana na hoja zake... Tusibishane sasa kuhusu mjenzi tuangalie muktadha wa mada kwa kufanya hivi tunaweza kusonga mbele sasa
 
Ni nani kati yetu ameshafika pale Soga kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR!? Ni wangapi wanajua ABC zake!? Ni wangapi wanachukua hatua ya kukemea ama kupiga kelele?
Yaliyotokea Upanga kwenye lile ghorofa lililoanza kubomoka kwa chini juzi yatatokea kwenye hii reli... Tunaandaa makaburi ya ndugu zetu wenyewe

Wajenzi wa pale ni waturuki... Tuachane na maneno yote kuwa kuanzia ujenzi pesa yake wametukopesha wao lakini mpaka bolt size kumi inatoka kwao na personnel yote..... Tuna vijana pale hawana nafasi kubwa lakini kutokana na uzoefu wa muda mrefu kwenye site nyingine walikopitia kuna vitu wanaona kabisa haviko sawa... Lakini wakijaribu kuhoji wanatishiwa kufukuzwa kazi... Hawa ma QS wetu wanaishi Dar wakija asubuhi wakipewa ripoti bila kuhoji wanatia saini na kupokea bahasha

Lakini wandugu ardhi na udongo wa pwani hii ni tepetevu mno na siamini waliofanya feasibility study (sijui ndio hivyo?) Kama walifanya kwa weledi na kama mapendekezo yao yakizingatiwa..
Kama kuna sehemu Tanzania inateseka na nguzo za umeme kuanguka ama kuegema na kusababisha shoti basi ni mkoa huu wa pwani... Lakini hata barabara yake hasa kutoka kibaha mpaka Chalinze changamoto yake ya kutitia inajulikana wazi.. Ardhi hii ikipata maji ni sawa na mkate mgumu kwenye chai

Njia ya kupita reli inapaswa kushindiliwa vilivyo... Kufanya compaction ya hali ya juu kulingana na aina ya eneo.. Yaani kifusi kokoto maji shindilia.. Ili kuweka uimara... Hili haifanyiki hapa
Kinachofanywa na waturuki waliojenga SGR ya Ethiopia ni kufanya compaction ya meter moja ya kifusi kimoja tu kisha kufanya test drive ya semi yenye mzigo full kuona hapadidimii kuwaonesha ma QS wetu kisha kusaini nyaraka
Ardhi ya Ethiopia na ya kwetu hasa kipande hiki cha pwani ni tofauti kabisa.. Wakati ya Ethiopia ikihitaji kushindiliwa mara chache tu kutokana na ugumu wa ardhi yake, yetu ni tofauti kabisa... Methodology ya Ethiopia huwezi kuitumia Tanzania ni kosa kubwa kitaalam
Hawa wajengaji ni wageni wakimaliza watarudi kwao lakini sisi tutabaki na reli yetu huku tukilipa mkopo na riba... Watendaji wasimamizi hawana uzalendo wa kivile
Tutafakari kwa pamoja na taarifa hii ifike kunakohusika
Tanzania kwanza......!!!!! View attachment 748348

Mimi nimefika Soga kwenye mradi tena several times. Tuache ushabiki, Reli ya Ethiopia to Djibut imejengwa na wachina pamoja na hawa hawa Yapi Merkezi (waturuki) na bado wanaendela huko Ethiopia wakimaliza ndo wanakuja ku-join hapa ili waende kwa haraka. Suala la hata bolt za mm 10 n.k. kutoka kwao hilo tujilaumu sisi na CCM yetu. Tuna kiwanda gani hapa cha kutengeneza bolt in mass production?? au unataka uchinge bolt moja moja pale gerezani au sijui wapi???

Kwanini tuliua kiwanda cha Nyumbu cha kutengeneza magari kwa ujinga wetu???? Je, waturuki wakisema tuwa-supply hizo bolt tutazitoa wapi??? si tuta agiza tena kutoka china na india???

Halafu tusidharau vijana wetu wanaotoka vyuo vikuu vyetu, wana akili sawa na wageni na hata kuwazidi, tatizo la Africa hatutaki kuwekeza kwenye strategic science, engineering and technology. Hakuna taifa lolote duniani lililo endelea katika fani za science, engineering na technology kwa kutegemea misaada kutoka nje! Ni nani mjinga aje akupe hela wewe ili ujengee kiwanda cha kutengeneza magari wakati yeye anauza magari???

Kinachotakiwa kufanywa na serikali za Africa ni kuwa na strategic training institutes katika maeneo ya science, technology & engineering na ziwekeze pesa ya kutosha huko. Bila hivyo tutaendelea kudharau wataalamu wetu eti hawajui wakati hatuwawezeshi. Nenda India, china, singapore n.k. vijana wanaohitimu vyuo vikuu wanashauriwa kuunda groups na wanapewa mshauri kutoka benki na wanaandika proposal na kama wachumi na wanasheria wakipitia wakaridhika basi vijana wale wanapewa mkopo kwa dhamana ya serikali. Pesa wanazo zalisha wakati hawaja anza kupata faida inawekwa kwenye account maalum chini ya usimamizi wa benki husika na wao hulipwa posho kidogo mpaka mradi wao utakapo anza kupata faida ndo wanaanza kulipwa zaidi, Je, sisi Africa tunafanya haya???
 
Asante sana Magezi kwa reply iliyojaa ufafanuzi mzuri... Wewe umefika tena si maramoja kwahiyo unaifahamu hali halisi ya pale... Naomba Bowie afike hapa maana alichofanya ni kuingia Google na na kukopi link.... Mradi mkubwa kama SGR kamwe hauwezi kujengwa na mtu mmoja
 
Akili hizi Afrika na Tanzania hazipo, huku watu wanawaza namna ya kunufaisha familia zao na vimada na sio maendeleo ya Tanzania..
 
Asante sana Magezi kwa reply iliyojaa ufafanuzi mzuri... Wewe umefika tena si maramoja kwahiyo unaifahamu hali halisi ya pale... Naomba Bowie afike hapa maana alichofanya ni kuingia Google na na kukopi link.... Mradi mkubwa kama SGR kamwe hauwezi kujengwa na mtu mmoja

labda kwa kumsaidia tu, Yapi amesub kazi kwa Motol Enginel (hawa ni wareno) kuna kipande wamepewe, amesub kazi kwa BECCO kujenga tuta nafikiri ni maeneo ya Pugu, wapo Ramani construction na contractor wote wa kibongo wanatakiwa kupitia kwa Ramani constr.. Huwezi kuwa na Project kubwa kama hiyo bila kusub kazi..
 
Hujanisaidia chochote kwani najua mradi mzima kuliko wewe. Nikusahihishe, hawa "Motol Enginel (wareno)" ni Railway Bridge specialists" usione wanajenga kambi yao pale baada kidogo ya Mikese kama unaenda morogoro ukadhani wanafanya normal construction works, wao wanajenga madaraja tu. Kuna kampuni ndogo ndogo za waTZ ambazo zinafanya geotechnical investigations n.k.
 
Back
Top Bottom