Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo

Hujanisaidia chochote kwani najua mradi mzima kuliko wewe. Nikusahihishe, hawa "Motol Enginel (wareno)" ni Railway Bridge specialists" usione wanajenga kambi yao pale baada kidogo ya Mikese kama unaenda morogoro ukadhani wanafanya normal construction works, wao wanajenga madaraja tu. Kuna kampuni ndogo ndogo za waTZ ambazo zinafanya geotechnical investigations n.k.
Hapana Magezi hakumaanisha wewe, samurai alimaanisha Bowie ambaye anasema SGR Ethiopia imejengwa na wachina tuu.... Reply ya samurai ni mwendelezo wa kuunga mkono ile reply yako kwangu
 
kuanzia ndege hadi hii SGR ni majeneza tupu,ukihoji unatekwa na kupotezwa,ndo hulka ya watu wasioweza lolote.

Hili halitakuwa na tofauti yeyote na lile la MAGHOROFA YA UDSM tuliyodanganywa na kuaminishwa na TBA ni EXPANSION JOINTS.....!!Hii kwa viroja na vihoja haiwezekaniki...!!
Mshana Jr. jiandae kutekwa na kwenda kuhojiwa Central maana inaonekana wewe siyo Mzalendo maana unapingana na serza za Ujenzi wa Viwanda na SGR...!!
 
siamini kama kuna kampuni kubwa kama yepi markez itacompromise ubora kukaribia soko, na pia si yupo independent consultant ambaye kazi yake ni kupima ubora Kabda ya malipo as acording to BOQ na method of testing.
Uko sahihi kwa hili...
 
Mshana waachie mafundi wafanye kazi yao je wewe una utaalam wa mambo ya Civil au mbabaishaji tu, unakumbuka kipindi barabara ya Morogoro ilipokua inajengwa na Kampuni ya Kifaransa watu wakaanza kuongea barabara gani inawekwa Mchanga badala ya Kifusi? haitadumu kumbe wale wazungu waliweka Kemical zao ambazo zinafanya kila baada ya muda zinafanya ule mchanga ukaze na kugeuka jiwe.
Sasa bro usiongelee mambo ya kitaalam kwa uchunguz wa jujuu tu
 
God forbid...! What a waste...!!!
 
Kuna siku utaikumbuka hii mada.. Na itakuwa ni too late kujua kuwa si kila kitu ni propaganda za kisiasa... Uiwaza hivyo ni wazi kabisa una mawazo kimo cha mbilikimo
Hivi Mshana Jr, Je kuna kitu chochote kizuri huko Soga ulicho ona? Au kila kitu ovyo ovyo!
 
Kosa la JPM linatoka wapi? Yeye ndiye alikuwa Rais wa kuamua barabara fulani ijengwe kwa gredi gani na kwa gharama kiasi gani?

Unapochaguliwa kuwa waziri wa ujenzi wewe ndio unawajibika kwa yote katika wizara hiyo kwani wewe ndio unaomba fedha za kujenga barabara toka bungeni hivyo unatakiwa kujua hizo fecha zitajenga barabara za viwango gani na kwa gharama stahiki!! Sasa wewe kwavile unatoka Chato basi unaona ni lazima umtete bulldozer sio? Tumia akili yako kidogo tu ujenge taifa lako kwa faida ya wajukuu zako!
 
Jamiiforums pamekuwa chanzo muhimu cha jabari
IMG-20180423-WA0029.jpg
 
Inaelekea kama kawaida ya JPM yeye priority yake ni kujenga tu hajali ubora wa miundombinu husika; wewe angalia ubora wa barabara zilizojengwa akiwa waziri ndio utajua ninalojumuisha hapa!! Akili yake inampeleka kuwa na quantity na sio quality na hivyo kama hiyo SGR itajengwa bila kuzingatia hayo yaliyoainishwa na Mshana jr bila shaka huko mbele kutakuwa na kilio kikubwa na wakati huo NGOSHA hatokuwepo!!
Uminikumbusha mbali sana .lami ya kiwango cha reli
 
Inaelekea kama kawaida ya JPM yeye priority yake ni kujenga tu hajali ubora wa miundombinu husika; wewe angalia ubora wa barabara zilizojengwa akiwa waziri ndio utajua ninalojumuisha hapa!! Akili yake inampeleka kuwa na quantity na sio quality na hivyo kama hiyo SGR itajengwa bila kuzingatia hayo yaliyoainishwa na Mshana jr bila shaka huko mbele kutakuwa na kilio kikubwa na wakati huo NGOSHA hatokuwepo!!
hakuna tofauti na mabweni ya wanafunzi
ngosha atakuwepo na atawajibishwa tu
 
siamini kama kuna kampuni kubwa kama yepi markez itacompromise ubora kukaribia soko, na pia si yupo independent consultant ambaye kazi yake ni kupima ubora Kabda ya malipo as acording to BOQ na method of testing.
Kwa maneno rahisi tuu .jibu ili tosha kabisa .ataa 1.5 kwa maneno sii zipo salama tuu au !!??
 
Back
Top Bottom