Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo

Ni nani kati yetu ameshafika pale Soga kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR!? Ni wangapi wanajua ABC zake!? Ni wangapi wanachukua hatua ya kukemea ama kupiga kelele?
Yaliyotokea Upanga kwenye lile ghorofa lililoanza kubomoka kwa chini juzi yatatokea kwenye hii reli... Tunaandaa makaburi ya ndugu zetu wenyewe

Wajenzi wa pale ni waturuki... Tuachane na maneno yote kuwa kuanzia ujenzi pesa yake wametukopesha wao lakini mpaka bolt size kumi inatoka kwao na personnel yote..... Tuna vijana pale hawana nafasi kubwa lakini kutokana na uzoefu wa muda mrefu kwenye site nyingine walikopitia kuna vitu wanaona kabisa haviko sawa... Lakini wakijaribu kuhoji wanatishiwa kufukuzwa kazi... Hawa ma QS wetu wanaishi Dar wakija asubuhi wakipewa ripoti bila kuhoji wanatia saini na kupokea bahasha

Lakini wandugu ardhi na udongo wa pwani hii ni tepetevu mno na siamini waliofanya feasibility study (sijui ndio hivyo?) Kama walifanya kwa weledi na kama mapendekezo yao yakizingatiwa..
Kama kuna sehemu Tanzania inateseka na nguzo za umeme kuanguka ama kuegema na kusababisha shoti basi ni mkoa huu wa pwani... Lakini hata barabara yake hasa kutoka kibaha mpaka Chalinze changamoto yake ya kutitia inajulikana wazi.. Ardhi hii ikipata maji ni sawa na mkate mgumu kwenye chai

Njia ya kupita reli inapaswa kushindiliwa vilivyo... Kufanya compaction ya hali ya juu kulingana na aina ya eneo.. Yaani kifusi kokoto maji shindilia.. Ili kuweka uimara... Hili haifanyiki hapa
Kinachofanywa na waturuki waliojenga SGR ya Ethiopia ni kufanya compaction ya meter moja ya kifusi kimoja tu kisha kufanya test drive ya semi yenye mzigo full kuona hapadidimii kuwaonesha ma QS wetu kisha kusaini nyaraka
Ardhi ya Ethiopia na ya kwetu hasa kipande hiki cha pwani ni tofauti kabisa.. Wakati ya Ethiopia ikihitaji kushindiliwa mara chache tu kutokana na ugumu wa ardhi yake, yetu ni tofauti kabisa... Methodology ya Ethiopia huwezi kuitumia Tanzania ni kosa kubwa kitaalam
Hawa wajengaji ni wageni wakimaliza watarudi kwao lakini sisi tutabaki na reli yetu huku tukilipa mkopo na riba... Watendaji wasimamizi hawana uzalendo wa kivile
Tutafakari kwa pamoja na taarifa hii ifike kunakohusika
Tanzania kwanza......!!!!! View attachment 748348
Eeh bhana eeh !!! Wenye elimu wamekuwa vipofu sisi tusio elimu tumebaki "yame maso" kama anavyohitimishaga ndugu yangu mzulu hapa.
 
Mkuu Mshana jr, aidha unahadithiwa au una ajenda ya siri.
Tangu lini QS akasimamia compaction tests!
Hili ni suala la Consulting Supervision engineers, na kama kuna backfill ya mita moja na sanasana linapitishwa trela kucheck compaction basi tunahitaji uthibitisho la hilo, maana ni serious.

Hata hivyo this is a serious allegation , maana hatutaki mambo kama barabara za Ajachube, zinajengwa leo na kubomoka baada ya mwezi ERB mpo hapo?
Hii allegation nibserious, kwa vile poor supervision unapata poor construction.
Acha mambo ya chuo chenu uchwara udsm ambacho hata workshop hakuna

Wewe ni idiot, Tangu lini wanafunzi walioclaim notes wa udsm wakajua Practical, Pale coet kuna nini cha maana zaidi ya walimu kuwajaza wanafunzi takataka za notes
 
kumbe wanafunzi wetu ni wataalamu teh teh, hizo boriti zinafungwa wapi? maana reli haijaanza kutandazwa bado
 
nmecheka sana mkuu.......wazee wa kukariri notes tu teh teh

Ova
 
Mshana unataka turudisha nyuma kimaendeleo wewe siyo mzarendo, naapa hakuna atakaye turudisha nyuma, hakuna wakunizuia

Kauli za baba mwenye nyumba hizo eeeh mwenyezi mungu tusaidie.
 
Ni nani kati yetu ameshafika pale Soga kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR!? Ni wangapi wanajua ABC zake!? Ni wangapi wanachukua hatua ya kukemea ama kupiga kelele?
Yaliyotokea Upanga kwenye lile ghorofa lililoanza kubomoka kwa chini juzi yatatokea kwenye hii reli... Tunaandaa makaburi ya ndugu zetu wenyewe

Wajenzi wa pale ni waturuki... Tuachane na maneno yote kuwa kuanzia ujenzi pesa yake wametukopesha wao lakini mpaka bolt size kumi inatoka kwao na personnel yote..... Tuna vijana pale hawana nafasi kubwa lakini kutokana na uzoefu wa muda mrefu kwenye site nyingine walikopitia kuna vitu wanaona kabisa haviko sawa... Lakini wakijaribu kuhoji wanatishiwa kufukuzwa kazi... Hawa ma QS wetu wanaishi Dar wakija asubuhi wakipewa ripoti bila kuhoji wanatia saini na kupokea bahasha

Lakini wandugu ardhi na udongo wa pwani hii ni tepetevu mno na siamini waliofanya feasibility study (sijui ndio hivyo?) Kama walifanya kwa weledi na kama mapendekezo yao yakizingatiwa..
Kama kuna sehemu Tanzania inateseka na nguzo za umeme kuanguka ama kuegema na kusababisha shoti basi ni mkoa huu wa pwani... Lakini hata barabara yake hasa kutoka kibaha mpaka Chalinze changamoto yake ya kutitia inajulikana wazi.. Ardhi hii ikipata maji ni sawa na mkate mgumu kwenye chai

Njia ya kupita reli inapaswa kushindiliwa vilivyo... Kufanya compaction ya hali ya juu kulingana na aina ya eneo.. Yaani kifusi kokoto maji shindilia.. Ili kuweka uimara... Hili haifanyiki hapa
Kinachofanywa na waturuki waliojenga SGR ya Ethiopia ni kufanya compaction ya meter moja ya kifusi kimoja tu kisha kufanya test drive ya semi yenye mzigo full kuona hapadidimii kuwaonesha ma QS wetu kisha kusaini nyaraka
Ardhi ya Ethiopia na ya kwetu hasa kipande hiki cha pwani ni tofauti kabisa.. Wakati ya Ethiopia ikihitaji kushindiliwa mara chache tu kutokana na ugumu wa ardhi yake, yetu ni tofauti kabisa... Methodology ya Ethiopia huwezi kuitumia Tanzania ni kosa kubwa kitaalam
Hawa wajengaji ni wageni wakimaliza watarudi kwao lakini sisi tutabaki na reli yetu huku tukilipa mkopo na riba... Watendaji wasimamizi hawana uzalendo wa kivile
Tutafakari kwa pamoja na taarifa hii ifike kunakohusika
Tanzania kwanza......!!!!! View attachment 748348

Waache waendelee kuambiwa na kukubali! CCM ni jumuia ya Majambazi na Kikwete alisemaga” Akili ya kuambiwa changanya na ya kwako” wengi mmekubali kuweka akili zenu rehani kwa washamba wakiongozwa na Jiwe ! Miradi yote ni hewa na mtasomeshwa kusoma na kuandika huku mkiwa na vyeti vya Phd fake! Wajameni yale Makenikia bado yako bandarini? Yale mabilioni ya kila mtanganyika kununuliwa Noah vipi bado mnangojea? SGR bomu, Stiglers Gorge bomu, ukuta wa mererani utakapoanza kubomoka wanajeshi watajitetea ni Expansion Joint na kwa kawaida huwa Amri hutekelezwa na kufikiri ni baadae? Bunge halihoji budget ya huo ukuta na design alifanya nani? Jiwe anavunja Katiba mchana kweupe na watu wanapeleka viongozi wa Chadema Mahakamani ili kupata mwanya wa kupiga makofi Bungeni kumsaidia Jiwe?
 
Mkuu unaonekana unataka kutoa taarifa za uongo kwani hata hiyo reli ya Ethiopia haikujengwa na Uturuki bali ilijengwa na China.
 
Acha mambo ya chuo chenu uchwara udsm ambacho hata workshop hakuna

Wewe ni idiot, Tangu lini wanafunzi walioclaim notes wa udsm wakajua Practical, Pale coet kuna nini cha maana zaidi ya walimu kuwajaza wanafunzi takataka za notes
Mkuu u idiot uko upande wako the only problem is, you are not smart enough to realize it!

Hizo Coet hatuzifahamu na kama una akili za kukutosha pitia tena bandiko langu na ulielewe vizuri.

Idiots like yourself always make wrong observation and equally wrong conclusions, then brag about it.
 
kumbe wanafunzi wetu ni wataalamu teh teh, hizo boriti zinafungwa wapi? maana reli haijaanza kutandazwa bado
Wapi nimesema zimeanza kutandazwa? Lakini je unadhani hata zikianza kutandazwa hizo bolt ndogo hazitakuwa na matumizi? Mashine, mitambo na magari yanayohusika hayatahitaji vipuri kama hizo bolt size kumi? Tusikurupuke kuchangia ili tu tuonekane tumechangia...
 
Acha mambo ya chuo chenu uchwara udsm ambacho hata workshop hakuna

Wewe ni idiot, Tangu lini wanafunzi walioclaim notes wa udsm wakajua Practical, Pale coet kuna nini cha maana zaidi ya walimu kuwajaza wanafunzi takataka za notes

Toka mwaka wa kwanza mpaka wa tatu kila mwaka wanafunzi wanapata wiki 6-8 za PT hapo wanafanya kazi (mazoezi) kwa vitendo na ambao wanakuwa sirius kwenye vipindi hivyo ndio wanakuwa injinia wazuri hapo wanapomaliza vyuo....
 
Mkuu unaonekana unataka kutoa taarifa za uongo kwani hata hiyo reli ya Ethiopia haikujengwa na Uturuki bali ilijengwa na China.
Wachina hawakuwa pekeyao. Hata hii waturuki hawako pekeyao pale kuna subcontract nyingi wamepewa wengine
Wapo ma engineer wa kituruki pale wanasimulia wenyewe walipokuwa Ethiopia... Ujenzi kama ule hujumuisha watu wa kaliba tofauti na hata kama main contractor ni fulani lakini kuna segment za subcontract nyingi anawapa wengine
 
Sisi tunaoishi maeneo kuanzia Kibaha Mlandizi hadi Mbezi, SGR tutapandia wapi ili twende Morogoro au Dodoma?
 
Aise Kazi ya ujenzi inajengwa kwa kufuata miongozo na maamuzi ya Injinia, compaction test si suala la kupitishwa kirahisi rahisi tu kama unavyosema, kuna hatua nyingi zinafuatwa.
 
Naelewa vizuri sana kuanzia kuchukua sample za compressed soul, kupeleka maabara kwenye vipimo baadae kuleta majibu... Hapo ndio hujulikana wapi ni weak points wapi compaction haijafanyika vizuri na kushauri nini kifanyike...
Labda kwakuwa nimeandika kwa kifupi sana lakini wahusika wachukue hatua.. Lisemwalo lipo
 
Ni nani kati yetu ameshafika pale Soga kwenye ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR!? Ni wangapi wanajua ABC zake!? Ni wangapi wanachukua hatua ya kukemea ama kupiga kelele?
Yaliyotokea Upanga kwenye lile ghorofa lililoanza kubomoka kwa chini juzi yatatokea kwenye hii reli... Tunaandaa makaburi ya ndugu zetu wenyewe

Wajenzi wa pale ni waturuki... Tuachane na maneno yote kuwa kuanzia ujenzi pesa yake wametukopesha wao lakini mpaka bolt size kumi inatoka kwao na personnel yote..... Tuna vijana pale hawana nafasi kubwa lakini kutokana na uzoefu wa muda mrefu kwenye site nyingine walikopitia kuna vitu wanaona kabisa haviko sawa... Lakini wakijaribu kuhoji wanatishiwa kufukuzwa kazi... Hawa ma QS wetu wanaishi Dar wakija asubuhi wakipewa ripoti bila kuhoji wanatia saini na kupokea bahasha

Lakini wandugu ardhi na udongo wa pwani hii ni tepetevu mno na siamini waliofanya feasibility study (sijui ndio hivyo?) Kama walifanya kwa weledi na kama mapendekezo yao yakizingatiwa..
Kama kuna sehemu Tanzania inateseka na nguzo za umeme kuanguka ama kuegema na kusababisha shoti basi ni mkoa huu wa pwani... Lakini hata barabara yake hasa kutoka kibaha mpaka Chalinze changamoto yake ya kutitia inajulikana wazi.. Ardhi hii ikipata maji ni sawa na mkate mgumu kwenye chai

Njia ya kupita reli inapaswa kushindiliwa vilivyo... Kufanya compaction ya hali ya juu kulingana na aina ya eneo.. Yaani kifusi kokoto maji shindilia.. Ili kuweka uimara... Hili haifanyiki hapa
Kinachofanywa na waturuki waliojenga SGR ya Ethiopia ni kufanya compaction ya meter moja ya kifusi kimoja tu kisha kufanya test drive ya semi yenye mzigo full kuona hapadidimii kuwaonesha ma QS wetu kisha kusaini nyaraka
Ardhi ya Ethiopia na ya kwetu hasa kipande hiki cha pwani ni tofauti kabisa.. Wakati ya Ethiopia ikihitaji kushindiliwa mara chache tu kutokana na ugumu wa ardhi yake, yetu ni tofauti kabisa... Methodology ya Ethiopia huwezi kuitumia Tanzania ni kosa kubwa kitaalam
Hawa wajengaji ni wageni wakimaliza watarudi kwao lakini sisi tutabaki na reli yetu huku tukilipa mkopo na riba... Watendaji wasimamizi hawana uzalendo wa kivile
Tutafakari kwa pamoja na taarifa hii ifike kunakohusika
Tanzania kwanza......!!!!! View attachment 748348

Unayosema wewe siyo ya kweli. Baadhi yetu tumefanya kazi na hawa waturuki na procedures wanazotumia ni international standards ktk ujenzi wa reli. Nikupe tu taarifa, kipande cha reli cha Dar to Morogoro, ni pesa ya serikali yetu iwe tumekopa au la. Kipande cha Morogoro - Makutupora na Makutupora - Tabora ndo mkopo wa waturuki. Binafsi sina wasi wasi na kazi ya kampuni husika, baadhi ya enginneers wao nawafanhamu.

Kitu ambacho nakubaliana na wewe ni suala la ajira, ni kweli kapuni hii imeleta mpaka sasa waturuki 658 na wanasema lengo lao ni kuwa na staff kutoka kwao 1100. Lakini tusiwalaumu, katika kufanya nao consultancies mbali mbali, nimekuwa nikila chakula ktk canteen yao. Kuna wapishi wa kitanzania walikamatwa wanaiba nyama na kupeleka nyumbani na wakafukuzwa kazi na hii ikapelekea kampuni kuajiri wapishi zaidi kutoka wao. Pili, kuna dereva aliajiriwa tena kwa kutoa rushwa, lakini alitaka kututumbukiza mtaroni, yaani unaona kabisa kwamba hapa dereva hakuna, je, tuwalaumu waturuki kwa wizi na uzembe wetu???
 
Ni makampuni mangapi ya nje tena yanayoheshimika sana yalikuja hapa kufanya miradi mikubwa na mwisho ikawa ni chini ya kiwango?
Kweli kabisa unaona ni sawa kwa hao waliofukuzwa kazi kwa makosa kama hayo? Mbona taratibu za adhabu kwenye ajira ziko wazi?
Kama kuna waturuki 600+ unafikiri watu wetu watakuwa na say pale!? Kwanini ma engineer wetu wasikeshe site kama waturuki? Ishu ya kumwagwa kifusi ipo na ni kweli kabisa... Labda baada ya hii mvua watagutuka sasa
 
siamini kama kuna kampuni kubwa kama yepi markez itacompromise ubora kukaribia soko, na pia si yupo independent consultant ambaye kazi yake ni kupima ubora Kabda ya malipo as acording to BOQ na method of testing.
Mkuu, nyie mnaojua kutumia lugha ya malkia kama alama ya kuwa wasomi ndo mnatuharibia nchi.

Yaani kwa kuchanganya maneno hayo unakuwa umesahau kabisa kuwa Tanzania hii imeingia mikataba ya kishenzi kabisa na wasomi wa Harvard na makila kitu walikuwepo?

Hata sijui kama ni usomi au kutokuwa msomi ndo kunahitajika ili kuona hali halisi.
 
Back
Top Bottom