Katika magazeti ya leo kuna taarifa ya kundi moja la wauza madawa ya kuzua tafrani baada kuvurumishiana risasi za moto na jeshi la polisi. Mbaya zaidi Uhuru wameandika kwamba kundi hilo la waunza unga walikataa kujisalimisha wakidai kwanza waongee na mtoto wa kigogo mmoja ambaye hakutajwa.
Tusipokuwa makini nchi hii itageuka Mexco au Columbia ambako makundi ya wauza madawa ya kulevya yana siraha nzito na yana uwezo wa kuamua serikali gani itawale. Sumaye aliwahi kusema mbele ya safari Tanzania inaweza kupata rais anayetokana na fedha ya madawa ya kulevya! Tuliwahi kushutuka!
Mtoto wa kigogo ambaye walitaka kuongea naye kwanza kabla ya kujisalimisha ni nani?