Kwahiyo unashauri mtu aanze kunywa pombe kwasababu itamsaidia kuacha uzinzi na usaliti!?Hahahaaa mambo mengine bhana yani mtu anasema pombe hanywi lakini mzinzi kupindukia na msaliti wa ndoa alaf anaona wanaokunywa pombe wakosefu !!!! Kweli nyani haoni nyuma yake tunaishi kama binadam tu sio malaika
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana ila kumnanga mtu kisa mlevi sio vizur kila mtu anaupande wake wa starehe unamsema vibaya kwenye pombe akat wewe mzinzi je inaleta nini kwamfano we kama mzinzi sio mlevi baki hvohvo kama mwenzako mlevi mwache hvohvo sio uje umuelezee tabia zake kilamtu na anasa zake ukae ulikua hlo mkuuKwahiyo unashauri mtu aanze kunywa pombe kwasababu itamsaidia kuacha uzinzi na usaliti!?
Kwaaaaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hiyo unajuta kwa kuwa hukuenda kucheza na hilo shombe lenye inye kubwa? Basi anza kunywa ili ufalme wa shetani uwe karibu nawe
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera na endelea kuwa na msimamo huopombe ikikudrive umekwisha! mie sikuw mtumiaj wa kitu chochote!nakunywa pombe baada ya kuona upweke umenizid !furaha yangu niliyokuwa nipenda siwez kuifany tena kwasasa(napend kwend club nicheze mziki weee) sasa nikajifunza wine kwa ugumu kweli kweli!sas hv ni expert!ingawa naicontrol !naweza kaa 6mths sijagusa wine!.....!
Kweli kabisa mkuuWasikuumize kichwa hao walevi, kuehuka ndio raha yao mkuu.
mafisadi hayana rangi
Hivi kaka angu nawe sio mpigaji wa vile vitu ee?.Kunywa pombe sio ujanja ni kujiendekeza tuuu
[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
Hivyo tuu? [emoji2]Hata mtuseme vipi pombe hatuachi ng'ooo, ukipata totozi ambayo nayo inakunywa pombe yaani mnafyatuana mpaka raha maana hakuna anayemuonea aibu mwenzake
Hahaaa. Kweli kabisa atupe hongera.Sasa tupeane pole au tupeane hongera? Badirisha heading yako bhana!
Yaani mkuu huo ubaguzi wa kwenye sherehe ndio ukukoseshe amani.Hujakumbana na ubaguzi wa sehemu za starehe ndugu, tupeane hongera japo yataka uvumilivu
Mmh.Mtu yeyote asiekunywa pombe huwa hakosi kinywaji kingine anachotumia[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa. Nimecheka mkuu lol......halafu wanapenda sana masengenyo hao wanaojifanya hawanywi pombe-...ni hovyo kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huwa nikienda bar na kununua maji na kukaa kuyanywa naambiwa ni matumizi mabaya ya bar
Kwa hiyo mnakunywa kama chaka lankukimbilia, kauli yako ni uongo!!
Kutokunywa kumenifanya niwe super fit, na kutokana na huo ufit nina muonekano wa 10/ 13 years younger!
Hadi nimecheka kwa sauti mkuu. Yaani kiuhalisia huna hata chembe ya aibu hasa unapokutana na sehemu yenye mziki lol. [emoji23] [emoji23]Miye sehemu yenye mziki mwenye pombe atasubiri sana, nasakata magoma mpk kuchee.