Tusiotumia pombe njoni tupeane pole

h
hapa umenisema pombe sijawahi onja hata kidogo ila habari ya wanawake najaribu jaribu kdg
 
Wengine wanakunywa kwa sababu wameathirika na msongo wa mawazo,ubongo unaitamani furaha na ndiyo chanzo hasa cha kujikita katika ulevi lengo ni kuufurahisha mwili ulidumazwa na stress

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hongera sana, tabia za wanywa pombe tukizianika hapa watatoa povu sana japo wanadai sisi ni wapiga majungu. Tabia mojawapo inayoniudhi na hatarishi ni kufakamia kila mwanamke na kuzitelekeza familia (matumizi), pia wengi wakilewa huwa hawakumbuki kinga na wabaguzi sana katika kusaidia (unaweza kumuomba msaada muhimu kama wa kuuguliwa asikupe ila kununua pombe yuko tayari kulipa hata cash crates za bia). Wengi wao hasa wanaume wameharibu hata tabia za wake zao.
 
Nimekunywa Sana ila nimegundua haina faida nimeamua kuacha,pombe kiufupi ni mateso tupu maana zikishapanda kichwan kila kitu kinawezekana ss kwann ujute kisa pombe?
 
Kwa hiyo unajuta kwa kuwa hukuenda kucheza na hilo shombe lenye inye kubwa? Basi anza kunywa ili ufalme wa shetani uwe karibu nawe

Sent using Jamii Forums mobile app
 



hii ni MESEJI Y MWEZI HUU WA 8! SALUTE
 
pombe ikikudrive umekwisha! mie sikuw mtumiaj wa kitu chochote!nakunywa pombe baada ya kuona upweke umenizid !furaha yangu niliyokuwa nipenda siwez kuifany tena kwasasa(napend kwend club nicheze mziki weee) sasa nikajifunza wine kwa ugumu kweli kweli!sas hv ni expert!ingawa naicontrol !naweza kaa 6mths sijagusa wine!.....!
 
Binafsi siwezi kumlaumu mtu ambae hanywi pombe. Kwa sababu nimesoma na nimekaa na mshikaji ambae haichukii pombe ila hanywi na alinipa sababu zake za msingi mpaka nikamuelewa na mimi nisingependa nizianike hizo sababu zake. Kwa hilo siwezi kuwalaumu ambao hamtumii.

Kwa upande wangu nakunywa pombe kistaarabu baada ya kuijua na kuielewa. Kwanza mimi huwa inaniondolea stress, pia inaboost confidence yangu. Kipindi nasoma nlikua siwezi ku-present bila kushtua kidogo japo nakiri huo ulikua utoto. Kwa sasa nategemea kurudi xul ila haitakuwa kama zamani. Sababu kubwa kuliko zote pombe bhana ni starehe na burudani ambayo haielezeki. Kwa hiyo kama unakunywa nakushauri kunywa kistaarabu kama hutumii siwezi kukushangaa najua una sababu zako.

"Too Much Of Any Thing Is Harmful. Don't Take It To The Maximum"
 
Mwanaume ambaye hanywi pombe bado hajakamilika
Ukinipa faida mbili tu za pombe ambazo sio za kutengeneza nitaanza kunywa na mimi leo hii ili niwe mwanaume kamil

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Mkuu wewe sio mlevi,sio mnywaji sio muonjaji sijui nikuweke kundi gani.Miezi 6?Hatariiii
 
100% Ganja free
100% alcohol free
100% tobaco free
And Iam proud of that

[emoji252]You get what you work for not What you wish for [emoji252]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…