Tusione vinaelea, vimeundwa

Tusione vinaelea, vimeundwa

Ndio shida ilipo, hakuna wataalamu wa strategic planning
Unajua tatizo lipo wapi? Kuingiza siasa katika serikali. Pili mamlaka ya urais wakati Rais hajawahi kuwa civil servant. Posts kama DED, Katibu Mkuu etc zilikuwa ni promotion ingawa ni uteuzi. Huwezi kuwa katibu mkuu bila kupita ngazi ya ukurugenzi ukabobea.

Enzi zile za mulokozi utumishi! Chief secretary ni muhimuli. Ona sasa CS ametokea Ardhi University unategemea nini.

Naishia hapa nisije kujulikana na marafiki zangu akina Tonny Kapola Gas Station
 
I agree ascendency in civil service is based on meritocracy, katibu mkuu wa wizara sio mtu wa kumuokota tu.

Katibu mkuu anatakiwa apande kwa kujua shughuli za wizara na namna moja wapo ni kushika nafasi mbali mbali za wizara kuanzia nchini kama DED ni njia moja wapo.

Ndio msingi wa hoja civil services wana succession planning zao, mamlaka ya teuzi imejaa watu watu wa hovyo.
 
Na kuna jambo moja hujaligusia hapo kwenye hio point yako.

Katibu mkuu ndie atakaempokea waziri yoyote yule mpya anekwenda kwenye wizara husika na yeye ndie anempatia funguo za wizara.

Ndo maana huitwa katibu mkuu wa kudumu wa wizara Permanent secretary.

Hata huko tunokuoana wameendeelea akichaguliwa kiongozi akifia ofisini kwake hukaribishwa na senior civil servant ambao ndo wao pale na wamewaona viongozi wakija na kuondoka.

Hivyo kusema Civil Service ni entity kamili inojitegemea.
 
Naona Kuna mtu tunazungumza lugha moja.

Tatizo la Civil Service linaibukia katika katiba. Mamlaka makubwa ya Rais. Tulipokuwa na Marais ambao walishakuwa civil servants mambo yalinyooka. Nyerere ni Kwa vile aliandaliwa. Mwinyi pona yake ni kuwa Nyerere alikuwa bado hai. Mkapa was a civil servant wa nguvu. Tatizo liliibuka wakati wa Kikwete maana yeye hakuwahi kuwa Civil Servant alikuwa mwajiriwa wa chama. Ndo maana wakati wake CCM iling'ara kweli ila CS ikadorora, hatukuona effects ila alipoingia jamaa yetu, JPM ndiopo ikafa maana hakuwahi kuwa na abc za civil service, ndipo akateua nje ya civil service wakaanza kuwa machawa. Mungu wangu, kwa sasa imeoza kabisa maana hata mama lishe kateuliwa kuwa DED.

Nini kifanyike, au katiba ibadilike na ibadilishwe na nguli SI hawa wachumia tumbo au apatikane Rais baada ya Samia kumaliza muda wake, ambaye ana uzoefu wa civil service. Mzizi wa fitina Kwa yote hayo ni kuruhusu mgombea binafsi katika Tanzania
 
Kiongozi kwa mwaka unaweza kuwa wahitimu 100,000+ kwa mwaka.

Serikali inahitaji mikakati ya kuwapatia ajira wengi wao. Lakini na yenyewe inahitaji kama wakali 1000 tu kwa shughuli zao.

Maendeleo ya China ni mikakati (na sehemu kubwa ya uongozi wao) ni engineers; sasa aina maana hakuna MBA’s, Econimists and Financials kwenye team yao.

But then it starts with a strategy na system ya kupata vipanga wa kufikia malengo na kusimamia.

Do we have that long term commitment?

Kwa mfano nchi gani ina mikakati ya kuajiri wahitimu "walio wengi"

Definition ya "walio wengi" ni nini kwa number au percentage; kwa hao 100k uliosema unatazamia serikali iajiri wangapi kwa mwaka?

Kuhusu China maelezo yako yamekuwa out of context ya uzi wako mwenyewe!

Wasomi wenye uelewa wanajua elimu inaleta "knowledge" "skills" na attitude. So waliokamilika wana hvyo vyote related to their areas. Wanajua pia elimu ni biashara na wamewekeza so ni jukumu lao kutafutia soko bidhaa yao baada ya kuvuna(kugraduate yani), elimu yao ndio commodity yao kama mkulima na mazao yake.

Kama wameelimika sawasawa wanajua kbs ili wasonge mbele wanatakiwa kuuza commodity zao tena kwa bei na wanavyotaka wao. Hawawezi kusubiri mteja (serikali) awaamulie wafanyie nini bidhaa yao, na wanatakiwa kujua unaweza kuuza popote bila masharti yoyote, wasomi wetu wanajua haya?

Wachina waliona hilo na kila mtu alipambana kutafutia soko alichonacho kichwani ndio wenye MBA walianzisha makampuni mbalimbali ya consultancy, management, banks, mashamba, etc, maengineer na wengine wote wakafuata mikondo hiyohiyo, serikali yao iliajiri wachache sana. Hamna serikali inaweza kubeba wasomi wote, watakua wanafanya nini? Ifungue mashamba? Viwanda? No!

Msomi aliyefanya Masters technically anatakiwa kucreate jobs, wa PhD lengo ni kufanya research, teaching na consultancy, bachelors kuongoza vikundikazi na diploma kushuka chini ndio wazalishaji. Sasa Tanzania kila mtu tangu la saba hadi PhD (za kupika offcourse) wanataka mama awape ajira! Inawezekana wapi??

Nani akaanzishe hizo ajira mnazotaka kuzipata???
 
Na kuna jambo moja hujaligusia hapo kwenye hio point yako.

Katibu mkuu ndie atakaempokea waziri yoyote yule mpya anekwenda kwenye wizara husika na yeye ndie anempatia funguo za wizara.

Ndo maana huitwa katibu mkuu wa kudumu wa wizara Permanent secretary.

Hata huko tunokuoana wameendeelea akichaguliwa kiongozi akifia ofisini kwake hukaribishwa na senior civil servant ambao ndo wao pale na wamewaona viongozi wakija na kuondoka.

Hivyo kusema Civil Service ni entity kamili inojitegemea.
Ndio msingi wizara ni kama taasisi, na takibu mkuu ndio operational manager.

Katibu mkuu (as operationmanager) anasubiri wananchi wamletee; mkurugenzi (uteuzi wa raisi).

Sasa operational managers ndio technocrat wa wizara and strategist.

Nchi nyingi duniani hadi kufikia hizo nafasi ni afisa usalama wa ngazi ya juu (all senior civil servants) wizarani kwa UK ni maafisa usalama.

Na kupanda ni kufanya kazi kutoka chini hadi kupanda juu kwa succession planning. Hata Tanzania ni hivyo hivyo japo hakuna hatua za kuwa usalama na succession planning Tanzania inaishia kwa mkurugenzi wa wizara.

Tafuta mkurugenzi wa wizara yeyote Tanzania, ukiwasikiliza ni more technocrats kushinda makatibu wakuu wengi. Kwa sababu makatibu wakuu raisi anajiamulia tu.
 
Kwa mfano nchi gani ina mikakati ya kuajiri wahitimu "walio wengi"

Definition ya "walio wengi" ni nini kwa number au percentage; kwa hao 100k uliosema unatazamia serikali iajiri wangapi kwa mwaka?

Kuhusu China maelezo yako yamekuwa out of context ya uzi wako mwenyewe!

Wasomi wenye uelewa wanajua elimu inaleta "knowledge" "skills" na attitude. So waliokamilika wana hvyo vyote related to their areas. Wanajua pia elimu ni biashara na wamewekeza so ni jukumu lao kutafutia soko bidhaa yao, elimu yao ndio commodity kama mkulima na mazao yake.

Kama wameelimika sawasawa wanajua kbs ili wasonge mbele wanatakiwa kuuza commodity zao tena kwa bei na wanayotaka wao. Hawawezi kusubiri mteja (serikali) awaamulie wafanyie nini bidhaa yao, na wanatakiwa kujua unaweza kuuza popote bila masharti yoyote, wasomi wetu wanajua haya?

Wachina waliona na kila mtu alipambana kutafutia soko alichonacho kichwani ndio wenye MBA walianzisha makampuni mbalimbali ya consultancy etc, management, banks, mashamba, etc, maengineer na wengine wote wakafuata mikondo hiyohiyo, serikali yao iliajiri wachache sana. Hamna serikali inaweza kubeba wasomi wote, watakua wanafanya nini? Ifungue mashamba? Viwanda?

Msomi alifanya Masters technically anatakiwa kucreate jobs, wa PhD kufanya research, teaching na consultancy, bachelor kuongoza vikundikazi na diploma kushuka chini ndio wazalishaji. Sasa Tanzania kila mtu tangu la saba hadi PhD (za kupika offcourse) wanataka mama awape ajira! Inawezekana wapi??

Nani akaanzishe hizo ajira mnazotaka kuzipata???
Mkuu either ukuelewa post yangu au mimi sijaelezea post yangu vizuri.

Nilichomaanisha ni kwamba katika wahitimu 100,000 serikali inalenga 1000 kwa ajili ya uongozi.

Vinginevyo serikali inaweza ajili zaidi watu 20,000 hapo kwa nafasi tofauti. Hao 1,000 ni vipanga inaowapa fursa ya kuonyesha uwezo wao wa kupanda daraja kwenda juu kwenye civil services.
 
Tukipata vipanga 1000 kila mwaka mkuu nchi yetu itaenda kwa kasi Africa nzima kwa sasa wote tu mediocre, tuache kupaka mafuta hali halisi mzee
 
Naona Kuna mtu tunazungumza lugha moja.

Tatizo la Civil Service linaibukia katika katiba. Mamlaka makubwa ya Rais. Tulipokuwa na Marais ambao walishakuwa civil servants mambo yalinyooka. Nyerere ni Kwa vile aliandaliwa. Mwinyi pona yake ni kuwa Nyerere alikuwa bado hai. Mkapa was a civil servant wa nguvu. Tatizo liliibuka wakati wa Kikwete maana yeye hakuwahi kuwa Civil Servant alikuwa mwajiriwa wa chama. Ndo maana wakati wake CCM iling'ara kweli ila CS ikadorora, hatukuona effects ila alipoingia jamaa yetu, JPM ndiopo ikafa maana hakuwahi kuwa na abc za civil service, ndipo akateua nje ya civil service wakaanza kuwa machawa. Mungu wangu, kwa sasa imeoza kabisa maana hata mama lishe kateuliwa kuwa DED.

Nini kifanyike, au katiba ibadilike na ibadilishwe na nguli SI hawa wachumia tumbo au apatikane Rais baada ya Samia kumaliza muda wake, ambaye ana uzoefu wa civil service. Mzizi wa fitina Kwa yote hayo ni kuruhusu mgombea binafsi katika Tanzania
Civil servants hawatakiwi kuwa wanasiasa kwanza.

Kama lengo ni democracy, wanatakiwa kuwa neutral na kuwa tayari kufanya kazi na chama chenye mlengo wowote wa siasa.

Muhimu at senior level ni uwezo wa ku-implement wamayokuja nayo; wao wanatakiwa ku-strategise njia sahihi.

Halikadhalika kuna wanasiasa wanaotoka civil service kwanza; lakini aina maana civil services ni chombo cha siasa.
 
Tunarudi pale-pale mamlaka ya teuzi ni shida.

I agree kuna trained heads huko serikalini, lakini hakuna meritocracy ya uteuzi.

Unakuta mtu ana uwezo hana nafasi au anapokonywa nafasi na mtu ambae hana uwezo kabisa.

Mfano ni vipi Dorothy Gwajima (mtaalamu) alitolewa afya na wizara kupewa Ummy Mwalimu ambae hajui lolote kuhusu hiyo sector.

Au ni vipi Mwigulu Nchemba aliachwa aongee ujinga wa maswala ya uchumi, wakati Kimei ni bank bencher.

OK hizo ni political appointment posts, sasa ni vipi hawa watu (yaani) Mwigulu na Ummy walikuwa wapumbavu vile ambao hakuwa na washauri wa kuwapa nyenzo za kufikia reasoning ya wataalamu waliowakataa.

Utagundua shida sio mawaziri, bali technocrats wa serikali, hata ukiwasikiliza tu. Mfano Kafulila na Nehemia uelewa wao wa maswala ya investment ni mdogo mno.
viongozi wa juu wakiitwa kwenye midahalo wanakimbia maana wanajijua ni weupe kichwani.Nakubaliana na ww viongozi ni weupe sana kichwani .Swali langu je tunafanyaje kuutoa huu upuuzi
 
Tukipata vipanga 1000 kila mwaka mkuu nchi yetu itaenda kwa kasi Africa nzima kwa sasa wote tu mediocre, tuache kupaka mafuta hali halisi mzee
Ndio wanavyofanya wenzetu, ukisikia katibu mkuu (sijui kwengine) ila kwa uingereza sio mtu wa mzaha kabisa.

Hakuna PhD wa kumtisha kwenye maswala ya sector yake; ni mtaalamu kinaga ubaga wa wizara husika na amefikia hapo kwa merit kutokea chini.

Sasa kibongo anaweza alikuwa katokea wilayani, mkoa, kasota wizarani hadi kuwa katibu mkuu. Na hatua zote za kupanda ni based on performance appraisal.

Sasa hawa ndio wale vipanga 1000 serikali inaowalenga.
 
viongozi wa juu wakiitwa kwenye midahalo wanakimbia maana wanajijua ni weupe kichwani.Nakubaliana na ww viongozi ni weupe sana kichwani .Swali langu je tunafanyaje kuutoa huu upuuzi
Tuanze na kuweka sahihi kwenye mamlaka ya uteuzi; hii ni kama HR ya serikali, pili kuondoa mamlaka ya raisi kuteua tu bila ya watu wanaopendekezwa na mamlaka ya uteuzi.
 
Bandugu huko Ulaya, hawajafika walipo kwa kubahatisha.

Hizo nchi senior civil servants ni vipanga kweli kweli.

Yaani kufikia uwezo wa kufikiria inabidi usome kweli kweli, hao watu asilimia kubwa ni very very clever.

Africans we need to take knowledge serious.

Hawa jamaa wanazoongoza hizo (senior civil servants) wamesoma, you only have to try reading; halafu ukutane na mtaalamu wa serikali akiongelea hilo jambo ndio ujione bado.

Huwezi kubabaisha mbele ya wazungu, watakuchora tu; hizo nchi aziendeshwi na wababaishaji na hizo jamii hutoboi academically if you don’t match up.

Kwanini naandika hivi, it’s sad kudhani vitu ni rahisi vile duniani; kama watanzania tunavyodhani.

Things don’t work like that huko kwa wenzetu, you can just fake your way in Tanzania and mobilise support.

Sad
I do not understand you in which context you refer wazungu, and ulaya. Ulaya is a continent with many countries and each of thise is running its own set of systems. There are some EU regulations that covers outside each countrys borders though. On the point of being very educated also is not the point, they work by the rules full stop, whether one is educated or not.
 
Back
Top Bottom