Tusione vinaelea, vimeundwa

Tusione vinaelea, vimeundwa

Mayor Quimby

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2021
Posts
6,750
Reaction score
14,491
Bandugu huko Ulaya, hawajafika walipo kwa kubahatisha.

Hizo nchi senior civil servants ni vipanga kweli kweli.

Yaani kufikia uwezo wa kufikiria inabidi usome kweli kweli, hao watu asilimia kubwa ni very very clever.

Africans we need to take knowledge serious.

Hawa jamaa wanazoongoza hizo (senior civil servants) wamesoma, you only have to try reading; halafu ukutane na mtaalamu wa serikali akiongelea hilo jambo ndio ujione bado.

Huwezi kubabaisha mbele ya wazungu, watakuchora tu; hizo nchi aziendeshwi na wababaishaji na hizo jamii hutoboi academically if you don’t match up.

Kwanini naandika hivi, it’s sad kudhani vitu ni rahisi vile duniani; kama watanzania tunavyodhani.

Things don’t work like that huko kwa wenzetu, you can just fake your way in Tanzania and mobilise support.

Sad
 
Bandugu huko ulaya, awajafika walipo kwa kubahatisha.

Hizo nchi senior civil servants ni vipanga kweli kweli.

Yaani kufikia uwezo wa kufikiria inabidi usome kweli kweli, hao watu asilimia kubwa ni very very clever.

Africans we need to take knowledge serious.

Hawa jamaa wanazoongoza hizo (senior civil servants) wamesoma, you only have to try reading; halafu ukutane na mtaalamu wa serikali akiongelea hilo jambo ndio ujione bado.

Huwezi kubabaisha mbele ya wazungu, watakuchora tu; hizo nchi aziendeshwi na wababaishaji na hizo jamii utoboi academically if you don’t match up.

Kwanini naandika hivi, it’s sad kudhani vitu ni rahisi vile duniani; kama watanzania tunavyodhani.

Things don’t work like that huko kwa wenzetu, you can just fake your way in Tanzania and mobilise support.

Sad
Nini kifanyike!? Tupe ushauri
 
Nini kifanyike!? Tupe ushauri
Wanahitajika watu makini mamlaka ya teuzi kufanya appropriate succession planning na kuwa consistent.

Hiyo kazi inafanyika tayari, kuna wataalamu Tanzania waliotengenezwa na serikali ukiwasikiliza unapata somo.

Unabaki unajiuliza sasa huyu mbona sio sehemu ya strategic planning na hana nafasi ya maana kwenye civil services.

Halafu unamsikiliza katibu mkuu wa wizara ambae anatakiwa kuwa technocrat au mkurugenzi wa taasisi/idara ya serikali unajiuliza hivi huyu taahira kafikaje hapo.

Something is amiss kwenye mamlaka ya uteuzi.

Kwa wenzetu kufikia nafasi ya senior civil servant sio mzaha, na ukifikia hapo jamaa katika speciality yake kuongea nae ujipange ata kama wewe ni PhD on the subject.

Hizo nchi aziongozwi na watu wa mzaha-mzaha (in their administration).
 
Mfano hai ni Mtaalam wa Trab n Trat na wenzie kwenye genge la mbuzi hata swali jepesi linalohusu taaluma yake majibu ni USANII mtupu.
Waziri wa fedha na raisi wa nchi hawajui taratibu za tax investigation processs kwa sheria yao.

Worst hiyo sheria ni copy and paste ya nchi nyingi duniani, na ni sehemu ya module ya accounting module from undergraduate. Let at specialisation level of masters degree, proffesional exams.

Sasa unakuwaje na mshauri wa waziri ambae hawezi kumwambia taratibu, booking, sheria ambayo ipo hai inasemaje kwenye kutunza nyaraka and justifying mantiki ya TRA kufanya ukaguzi wa kurudi nyuma.

Hayo yapo kwenye sheria and common accounting knowledge kwa nchi wanazo-copy sheria, they might as well copy their accounting module and aim to attain ACCA accreditation.

That’s the only logical way ya ku-justify waziri na raisi na washauri wao hawailewi VAT law ya Tanzania inayopitishwa na bunge; the same challenges applies to Income tax laws.

Mwigulu ukimsikiliza hajui maswala ya tax kabisa, sasa yeye sio shida, tatizo ni washauri wake wa hayo maswala.

Kwanini ushangae maswala ya Trat na Trab, Tanzania.

Ndio uwa najiuliza yaani wewe qualified accountant, huna hata ka office katikati ya mji cha kuwakusanya wafanyabiashara hata mimi kuwafanyia tax na ku-deal na TRA kwa niaba yao.
 
Habari Maelekezo

G Msigwa
Ndio wale wale, Msigwa sio communication expert.

Tunarudi square one, civil services experts sio watu wa mzaha.

Msigwa yupo tu kujaza nafasi, but by no means he is trained in public communication.

Hawa wenzetu hawabahatishi; ukisikia mtaalamu jua sio mtu wa mzaha kabisa.
 
Umesema vizuri sana, wajawazito wanarudishwa shule
 
View: https://m.youtube.com/watch?v=WEzvesJUAuc&pp=0gcJCR4Bo7VqN5tD

Huyo ndio alikuwa chief ‘communication officer’ wa Tony Blair.

Unadhani hao watu wa mzaha-mzaha; ndio wakumfananisha na kiazi kama Msigwa ambae jibu technical questions.

Ndio msingi wa mada, hizo nchi za wenzetu aziendeshwi na watu wa hovyo.

Umesema vizuri mkuu, kwa hio nini kifanyike kwa sasa maana pale juu unajua aliekaa yeye pia elimu yakee ndio lakini sio ya kivile maana alishasema form 4 alikula 4, sasa nini kifanyike hapo?
 
Umesema vizuri mkuu, kwa hio nini kifanyike kwa sasa maana pale juu unajua aliekaa yeye pia elimu yakee ndio lakini sio ya kivile maana alishasema form 4 alikula 4, sasa nini kifanyike hapo?
Suluhisho ni kuelewa kitabu cha ‘Plato’s Republic’ and the ship allegory.

That’s not as simple has I have put it, kwa sabababu inataka mamlaka ya teuzi ambayo ina highly educated on HRM and MBA.

Hiyo nayo ni story nyingine ndefu kwa maelezo.

Let’s say this ‘post’ is a poser; they got to figure out; vinginevyo I have no intentions to write a whole story on what is wrotten in that system.

CIAO 👋

NBA on my mind will be back in 10 hours
 
Bandugu huko Ulaya, hawajafika walipo kwa kubahatisha.

Hizo nchi senior civil servants ni vipanga kweli kweli.

Yaani kufikia uwezo wa kufikiria inabidi usome kweli kweli, hao watu asilimia kubwa ni very very clever.

Africans we need to take knowledge serious.

Hawa jamaa wanazoongoza hizo (senior civil servants) wamesoma, you only have to try reading; halafu ukutane na mtaalamu wa serikali akiongelea hilo jambo ndio ujione bado.

Huwezi kubabaisha mbele ya wazungu, watakuchora tu; hizo nchi aziendeshwi na wababaishaji na hizo jamii hutoboi academically if you don’t match up.

Kwanini naandika hivi, it’s sad kudhani vitu ni rahisi vile duniani; kama watanzania tunavyodhani.

Things don’t work like that huko kwa wenzetu, you can just fake your way in Tanzania and mobilise support.

Sad
Kusema kweli inasikitisha sana, ukiwa nje kwa wenzetu, ndio utajua kama kweli sisi huku, hasahasa Tanzania, tunaishi ili tupige hatua ? Au tunaishi ili tule na kulala na kuzaa tu na kwenda chooni
 
Wasomi wapo shida ni siasa za tz machawa ndo wanaaminiwa kuendesha taasisi zinazohitaji watalamu...vchekesho anachukuliwa mwana uvccm kisa ni chawa anapewa cheo unategemea nn
Tunarudi pale-pale mamlaka ya teuzi ni shida.

I agree kuna trained heads huko serikalini, lakini hakuna meritocracy ya uteuzi.

Unakuta mtu ana uwezo hana nafasi au anapokonywa nafasi na mtu ambae hana uwezo kabisa.

Mfano ni vipi Dorothy Gwajima (mtaalamu) alitolewa afya na wizara kupewa Ummy Mwalimu ambae hajui lolote kuhusu hiyo sector.

Au ni vipi Mwigulu Nchemba aliachwa aongee ujinga wa maswala ya uchumi, wakati Kimei ni bank bencher.

OK hizo ni political appointment posts, sasa ni vipi hawa watu (yaani) Mwigulu na Ummy walikuwa wapumbavu vile ambao hakuwa na washauri wa kuwapa nyenzo za kufikia reasoning ya wataalamu waliowakataa.

Utagundua shida sio mawaziri, bali technocrats wa serikali, hata ukiwasikiliza tu. Mfano Kafulila na Nehemia uelewa wao wa maswala ya investment ni mdogo mno.
 
Kusema kweli inasikitisha sana, ukiwa nje kwa wenzetu, ndio utajua kama kweli sisi huku, hasahasa Tanzania, tunaishi ili tupige hatua ? Au tunaishi ili tule na kulala na kuzaa tu na kwenda chooni
Kwanini iwe hivyo kwetu, something has to change.
 
Wanahitajika watu makini mamlaka ya teuzi kufanya appropriate succession planning na kuwa consistent.

Hiyo kazi inafanyika tayari, kuna wataalamu Tanzania waliotengenezwa na serikali ukiwasikiliza unapata somo.

Unabaki unajiuliza sasa huyu mbona sio sehemu ya strategic planning na hana nafasi ya maana kwenye civil services.

Halafu unamsikiliza katibu mkuu wa wizara ambae anatakiwa kuwa technocrat au mkurugenzi wa taasisi/idara ya serikali unajiuliza hivi huyu taahira kafikaje hapo.

Something is amiss kwenye mamlaka ya uteuzi.

Kwa wenzetu kufikia nafasi ya senior civil servant sio mzaha, na ukifikia hapo jamaa katika speciality yake kuongea nae ujipange ata kama wewe ni PhD on the subject.

Hizo nchi aziongozwi na watu wa mzaha-mzaha (in their administration).
Umezungumza Wataalamu wapo!,nadhani hapo ndio tatizo lililopo kwa jibu lako hapo!!

Kwa nini nasema hivyo, Watanzania bado hatujui nini kilichobomoa utendaji wetu hata wa wataalaam wetu!!

Ndugu, Mayor, kwa hali ambayo tumefikia sio rahisi kuwapata hao wataalaam watakaotupeleka mbele, kama aina ya watoa maamuzi ndio hawa tulionao leo( Wanasiasa) .

Ambacho kipo vichwani kwa binadamu wa Tanzania ni kuchukua chako mapema na julingishia wenzako,

Binadamu walioajilia serikalini sasa hivi , wanaenda kazini ili kuangalia nini cha kuiba leo, sio kufanya kazi tena, sasa huyo mtaalaam atafanyaje kazi ya kitaalaam na kichwani kuna wazo la kuiba tu.

Mungu afanye wepesi, aturudishe kipindi kile cha Nyerere, ambapo mpaka ufikilie cha kuiba au kufanya ufisadi , basi uwe nje ya mfumo wa serikali.

Mwalimu alikuwa kweli anafundisha, Daktari kweli anatibu, polisi ana utu.

Leo Dk anaenda jazini kuiba , Nurse naye anaiba, Mwal hana cha kuiba, lakini anafikiria kazi yake ya bodaboda,

Polisi analala kukuche haraka akamate mtu apewe rushwa, na walivyo na roho mbaya, usipompa rushwa yupo tayari akubambikie kesi hata ya kuua , wala hajali!!

Mkuu wa nchi anawaambie wasaidizi wake waibe lakini kidogo,

Sasa hapo kuna nini,

Nchi inatakiwa Total reform, Mfanyabiashara ndio awe tajili, wewe mfanyakazi wa serikali kuwa tajili , unaupataje huo utajili
 
Back
Top Bottom