TUSIMAME KAMA TAIFA TULIPE MADENI TUWE HURU.
Deni la toka 2009 linatiliwa mkazo baada ya kuzuia makinikia, hapa ni kamba kanada kwa ujumla wanataka maendeleo kwa kampuni zao cha ajabu baadhi ya watanzania hawataki maendeleo na kampuni yao na nchi yao, wanaungana na wakanada wanaopigania maslahi yao.Dawa ya deni ni kulipa
Inasikitisha kwa kweli kuona serikali ya Canada imeingilia ili swala kiujanja ujanja lakini sisi tunaoibiwa na maskini ndio tunawapigia debe!!Nimemaliza kama kichwa cha habari,kinavyoelezea
Wanapuuzi wanabeza lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize maneno ya wapinga umoja,serikali inawashauri wake wanatosha ikiitajika kufanya hivyo itafanya ila sikwakushinikizwa.
Tanzania yetu,mshikamono wetu ndiyo nguzo yetu.
Samsung SH 8 Mobile Traveller
Mwambie bosi aruhusu maandamo tushinikize Canada waachie ndege yetuNimemaliza kama kichwa cha habari,kinavyoelezea
Wanapuuzi wanabeza lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize maneno ya wapinga umoja,serikali inawashauri wake wanatosha ikiitajika kufanya hivyo itafanya ila sikwakushinikizwa.
Tanzania yetu,mshikamono wetu ndiyo nguzo yetu.
Samsung SH 8 Mobile Traveller
dawa ya deni ni kulipa JingalaoCanada inajiingiza katikati ya mgogoro wetu na wakwepa kodi!
Canada kama nchi inahusikaje? Haya mambo ni ya kisheria na mahakama imeshaamua sasa unataka nchi ya Canada iingilie mahimili wa mahakama?Canada inajiingiza katikati ya mgogoro wetu na wakwepa kodi!
Jinga jingaCanada inajiingiza katikati ya mgogoro wetu na wakwepa kodi!
Deni la toka 2009 linatiliwa mkazo baada ya kuzuia makinikia, hapa ni kamba kanada kwa ujumla wanataka maendeleo kwa kampuni zao cha ajabu baadhi ya watanzania hawataki maendeleo na kampuni yao na nchi yao, wanaungana na wakanada wanaopigania maslahi yao.
Hiki ni kituko cha karne, kuna mida nawakibali sana wakenya inapokuja suala la national interest wako pamoja sana.
Canada inatetea makampuni yao ya ndani wakati serikali yetu inajitahidi kufilisi wawekezaji wa ndani.Canada inajiingiza katikati ya mgogoro wetu na wakwepa kodi!