Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,620
- 39,672
kwa akili za majitu ya ccm ni ngumu sana kueleweka.Canada inatetea makampuni yao ya ndani wakati serikali yetu inajitahidi kufilisi wawekezaji wa ndani.
kwa akili za majitu ya ccm ni ngumu sana kueleweka.Canada inatetea makampuni yao ya ndani wakati serikali yetu inajitahidi kufilisi wawekezaji wa ndani.
wapinzani wakamuone mkuu wa nchi ili wambembeleze kuomba nini?Nimekusoma vizuri na kukuelewa na ndiyo maana kuna usemi kila utawala una kitabu chake! Tukianzia hapo tunasababu za kujiuliza kuliko kufanya mazoea unapoona hautendewi haki na mkuu wa nchi kama wapinzani hamjaonyesha nia yakuona mkuu wanchi,nia mliyonayo niya kwenda kama mnatembea mchakamchaka au maandamano tafuteni wazee wa busara mkiwa na hoja nzito mkononi mukamuone mkuu wanchi tuone kama hatawasikiliza hii nikwamjibu wa maono yangu na mimi nawaibia maono yangu jaribu Leo!.
Kaka huu ni muundo wa serikali hata ccm wanalia lakini huu ni mfumo wa utawala.unadhani serikali ya marekani inawanyanyasa raia wake na vyama vya upinzani kama mnavyofanya nyie CCM huku Tanzania. uzalendo haujengwi kwa kuleta chuki kwenye jamii.
basi hautufai muundo wa serikali unaonyanyasa watu wake.Kaka huu ni muundo wa serikali hata ccm wanalia lakini huu ni mfumo wa utawala.
Nikweli ujue demklasia afrika bado tulipodhani ipo wao ndo wanasigina kabisa mfano SA waliua watu wao wenyewe kisa migodi wakalaza kama mia hivi twende Egypt tuliona aliyeshinda alitolewa katika serikali kisa ni mdini sasa sisi hatutaki kufika huko palipo na kosa tutafute njia mbadala yakumaliza tofauti pia tukizingatia utawala tulionao tunaji squeeze accordingly ni hayo Mheshimiwa.basi hautufai muundo wa serikali unaonyanyasa watu wake.
Mbona kwenye kugawana mabilioni ya dili huwa hatusimami pamoja kugwana japo buku buku kila mtu???Nimemaliza kama kichwa cha habari,kinavyoelezea
Wanapuuzi wanabeza lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize maneno ya wapinga umoja,serikali inawashauri wake wanatosha ikiitajika kufanya hivyo itafanya ila sikwakushinikizwa.
Tanzania yetu,mshikamono wetu ndiyo nguzo yetu.
Samsung SH 8 Mobile Traveller
Kwenye Kudaiwa madeni yaliyotokana na Kukurupuka Kuvunja Mikataba ndio Mnasihi "Mshikamano"???Nimemaliza kama kichwa cha habari,kinavyoelezea
Wanapuuzi wanabeza lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize maneno ya wapinga umoja,serikali inawashauri wake wanatosha ikiitajika kufanya hivyo itafanya ila sikwakushinikizwa.
Tanzania yetu,mshikamono wetu ndiyo nguzo yetu.
Samsung SH 8 Mobile Traveller
Kwa akili za Kilumumba unataka Deni hilo lilipwe lini na likiwa limefika Bilioni ngapi?Deni la toka 2009 linatiliwa mkazo baada ya kuzuia makinikia, hapa ni kamba kanada kwa ujumla wanataka maendeleo kwa kampuni zao cha ajabu baadhi ya watanzania hawataki maendeleo na kampuni yao na nchi yao, wanaungana na wakanada wanaopigania maslahi yao.
Hiki ni kituko cha karne, kuna mida nawakibali sana wakenya inapokuja suala la national interest wako pamoja sana.
Mimi nafikiri tusimame kama taifa tuiambie hii serikali ya makinikia ilipe deni lote inalodaiwa kuepukana na deni kuongezeka kwa sababu ya riba!Nimemaliza kama kichwa cha habari,kinavyoelezea
Wanapuuzi wanabeza lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize maneno ya wapinga umoja,serikali inawashauri wake wanatosha ikiitajika kufanya hivyo itafanya ila sikwakushinikizwa.
Tanzania yetu,mshikamono wetu ndiyo nguzo yetu.
Samsung SH 8 Mobile Traveller
HAHAHAHAHAHHAH....Ndorooobo..lipeni na tutawawajibishaCanada inajiingiza katikati ya mgogoro wetu na wakwepa kodi!
uonevu umezidi sana mkuu...leo mfanyakazi wa sekta binafsi ukipoteza kazi unakufa...Mifuko ya jamii haitaki kutupatia fedha zetu...Nini maana ya social security....maana yake ni Wazee security?Unataka Wazee Wa heshima wakajadili nini?
Unadhani hekima zinapita Katiba ya Nchi?
Hayo anayoyazuia huyo "mtakatifu" wenu sio hisani bali ni haki zilizopo kwenye katiba. Ila zinazuiwa kwa kundi moja huku zikiachiwa kwa kundi jingine mnadhani sisi tuwajinga wa kiasi hicho?
Hizi double standards hamzioni? Wengine wameichishwa kazi kwa kuwa hawakuwa na vyeti/walifoji lakini wengine wanatukuzwa wachape "kazi" kana kwamba Uraia Wetu una madaraja.
Wengine wanaporwa ardhi zao kwa kigezo cha kutoziendeleza lakini KM kadhaa near by kuna wengine wa chama kingine nao wana maelfu ya Ekari hayajaendelezwa wameachwa unataka tuwaeleweje?
Mtavuna hiki mnachokipanda.