Tusimame kama Taifa tuiambie Canada walete ndege yetu!

Tusimame kama Taifa tuiambie Canada walete ndege yetu!

Mleta mada acha upumbav umoja wa kitaifa ni upi kama wengine wanafanya mikutano wengine hapana we mpuuz nini
 
Mleta mada acha upumbav umoja wa kitaifa ni upi kama wengine wanafanya mikutano wengine hapana we mpuuz nini
Mkuu sasa unaonekana hauna hoja umeanza kwa kutukana nakama ulikuwa unasoma na kuelewa ungeona niliposhauri kufata chanel siyo unakurupuka hapa penyewe hatujuani umekurupuka umenitukana nikikuita nyumbu utanikasirikia??kwa ukurupukaji huu wengi wenu ndiyo maana mnavunja sheria polisi wanawatuliza mnasema mnaonewa ona sasa!!
 
KWANZA HUKO CANADA TUNAENDA NA HAKA KABOMBADIA CHA HOMU AU MAAANA TUSIJE TUKAFIKA HUKO WAKAKAPIGA KAPINI NA HAKA MWAMBIE TU AENDE NA MTOTO WAKE
 
Ni sawa kabisa tusimame kama taifa kulipa deni tunalodaiwa....
 
uonevu umezidi sana mkuu...leo mfanyakazi wa sekta binafsi ukipoteza kazi unakufa...Mifuko ya jamii haitaki kutupatia fedha zetu...Nini maana ya social security....maana yake ni Wazee security?
Hapo sasa Hawa Vijana Wa Lumumba Uzalendo kwao ni katika kuunga mkono kila Upuuzi wa upande wao.

Components nyinginezo mfano zinazohusu makundi mbali mbali eg Haki za Watumishi wa Sekta Ya Umma na Binafsi hawazioni, haki za Vyama Vingine kufanya siasa hizo hazionekani ila wanataka watu tuunge mkono Matamko ya viongozi wao tu.
 
Tuungane ata kwenye mambo yaliyofanywa makusudi ili kutumia kodi zetu vibaya.au wewe unadhani hizo ela hazituumi?.Tena uko ni mbali,hapa nchini tu kwenyewe kuna viongoz kibao wanaofuja kodi zetu kwa mambo yasiyo na tija kwa taifa,alafu unataka tuunge mkono.
 
Nimemaliza kama kichwa cha habari,kinavyoelezea
Wanapuuzi wanabeza lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize maneno ya wapinga umoja,serikali inawashauri wake wanatosha ikiitajika kufanya hivyo itafanya ila sikwakushinikizwa.
Tanzania yetu,mshikamono wetu ndiyo nguzo yetu.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
Ndege hata ikija utaipanda,Acha kibaki huko huko tu

Ova
 
Nashauri ili kuonesha mshikamano wa nchi serikali ianzishe kodi ya kichwa kama mkoloni mjerumani ili mapato ya Jamhuri yaongezeke na madeni ya nchi yalipwe.

Magu kamua babaaa kamua hadi waseme pooo hasa wale wateja wa kijani na njano
Rudini kwenu..au tukinukishe
 
lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize
Wakati mnaingia na kuvunja mkataba uliotufikisha hapa tulikuwa pamoja?na kama siyo lazima serekali kuwasikiliza huo umoja mnaomba kwa ajili ya nini?.
 
Nimemaliza kama kichwa cha habari,kinavyoelezea
Wanapuuzi wanabeza lakini kama nchi tuwe na umoja na silazima serikali iwasikilize maneno ya wapinga umoja,serikali inawashauri wake wanatosha ikiitajika kufanya hivyo itafanya ila sikwakushinikizwa.
Tanzania yetu,mshikamono wetu ndiyo nguzo yetu.

Samsung SH 8 Mobile Traveller
Kabla ya kuwaambia hivyo Canada tunapaswa kuweka Unafiki Pembeni na kuwaambia Serikali ya CCM iache kuidalalia nchi kipumbavu! Viongozi waache maamuzi ya kipumbavu yanayoligharimu Taifa! Ni vema wakasikiliza Ushauri hususani wa Wapinzani! Kujitapa hapa kuwa Serikali ina Washauri wake unadhani Serikali zilizoingia mikataba mibovu Juu ya Rasilimali zetu hazikuwa na Washauri wake? Leo tunapambana na nini? Ni Upumbavu na Udikteta kutowasikiliza Wananchi unaowaongoza, hata kama sii wa Chama chako! Ni maiti tu asiepokea Ushauri Mbadala!
Let us stand up for Our Nation and hold accountable our Government!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma komenti zenu nimeona kama taifa vijana kwa wazee tuna ombwe ya uzalendo swala la kitaifa tunatakiwa kuwa kama wamarekani wanatanguliza umarekani ila susi tunatanguliza uccm,uchadema,uact na ucuf and etc

Samsung SH 8 Mobile Traveller
Unapaswa kujiuliza nini kimetufikisha hapo! Hayo Mambo sijui ya Ombwe ni blah blah tu! Viongozi wamelipasua Taifa, unategemea nini? Huu mpasuko haujaletwa na Wacanada wala sii wa Leo, na ni hao Viongozi ndio waliouleta! Hatutakaa tusimame pamoja ilihali mnatubagua na kutugawa! Yawapasa kufanya hesabu zenu vizuri Juu ya kila move mnayoifanya!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom