Tusikose kuhudhuria: NI MUHIMU

Tusikose kuhudhuria: NI MUHIMU

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,114
1414922617697.jpg
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tatizo kwa sisi ambao hatutaweza kufika hapo hawa tanesco majanga hawakawii kutukatia umeme.
 
Ningekuwepo nisinge kosa ilanajua wataniwakilisha waliopo.
 
Chama chawala kaeni mbali na hii post kabanga BAK njoni mtie neno hapa nina sababu zangu
 
Last edited by a moderator:
Duuh ngoja nirekebishe hiki kiredio changu
 
Mida hii natizama itv. Wanaonyesha tamasha la michezo.Nijulisheni kama wataonyesha huo mdahalo. Niko mbali.
 
Mshana wahuni wameharibu watu kupata elimu. Niwe mkweli nilikuwa sijui kama kuna sheria ya mchakato wa kura ya maoni! Strange! Imetungwa lini mbona sikusikia kwenye bunge wakati inatungwa!

Symptoms of the dying state...!!! Whatever they are trying to do turns to be failure and a big laugh if not comedy
Hakukuwa na sababu ya kuwatuma vijana wao na mabango pale WHAT FOR...!! Wajiandae tu kukabidhi nchi kwa amani wajifunze toka mashariki ya kati kuwa muda wa mabadiliko unapofika hakuna wa kuzuia ni sawa na kujizuia kupiga chafya au kujisaidia haja iliyobana hutaweza

Kwa hali hii huko mbeleni tuna shida kubwa hawatakubali kushindwa kwa amani kwakuwa wanajua ndio kitakuwa kiama chao, wana uchafu mwingi sana wamefanya na mabaya yao yameshaanza kuanikwa wanaogopa hata vivuli vyao sasa COWARDS OF THE COUNTRY

Hii haikuwa wiki njema kwao kabisa kwakuwa kila tukio limekuwa na matokeo chanya kwa upinzani, mambo yanabadilika kwa kasi mno na kusema kweli ccm wamechanganyikiwa vilivyo! Mdahalo ule haukuwa sehemu ya kuingia na mabango poorest ccm!!!nani kawashauri upuuzi wrote huuu????????????
 
Symptoms of the dying state...!!! Whatever they are trying to do turns to be failure and a big laugh if not comedy
Hakukuwa na sababu ya kuwatuma vijana wao na mabango pale WHAT FOR...!! Wajiandae tu kukabidhi nchi kwa amani wajifunze toka mashariki ya kati kuwa muda wa mabadiliko unapofika hakuna wa kuzuia ni sawa na kujizuia kupiga chafya au kujisaidia haja iliyobana hutaweza

Kwa hali hii huko mbeleni tuna shida kubwa hawatakubali kushindwa kwa amani kwakuwa wanajua ndio kitakuwa kiama chao, wana uchafu mwingi sana wamefanya na mabaya yao yameshaanza kuanikwa wanaogopa hata vivuli vyao sasa COWARDS OF THE COUNTRY

Hii haikuwa wiki njema kwao kabisa kwakuwa kila tukio limekuwa na matokeo chanya kwa upinzani, mambo yanabadilika kwa kasi mno na kusema kweli same Chang any I kiss vilivyo! Mdahalo ule haukuwa sehemu ya kuingia na mabango poorest ccm!!!nani kawashauri upuuzi wrote huuu????????????
ni dhahiri bila kutumia nguvu kubwa zaidi ya sanduku la kura hatuwezi kuiondoa ccm.Wananchi tujipange maana ccm imeamua kuvuruga hali ya hewa
 
ni dhahiri bila kutumia nguvu kubwa zaidi ya sanduku la kura hatuwezi kuiondoa ccm.Wananchi tujipange maana ccm imeamua kuvuruga hali ya hewa

Nina imani na CHADEMA nina imani na UKAWA nina imani na wanamapinduzi wote wanaonia kuleta mabadiliko ya kweli
 
Back
Top Bottom