gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
Watu kama Nape wanasaidia sana kuufanya mpasuko huo kufanikiwa. Akiwa na Magufuli jijini Mwanza kasikika akiwaambia waliokuwepo kuwa mtu yeyote atakayeendelea kukilaumu chama hadharani wakiwemo wazee wanaowaheshimu (nadhani hapa alikuwa anamaanisha Kingunge) watashughulikiwa.
Sasa kama kila atakaye laumu ukiukaji wa kanuni anashughulikiwa sii ndio watakapoamua kujiondoa kama wafanyavyo sasa?
Tayari kazi imeanza!Hata kama hatahama...atahamisha kundi kubwa la watu!
Waendelee tu kupasuka lakini mimi nachotaka Lowassa abakie huko huko CCM.
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa
Mkuu halafu wanajitamba kwamba chama chao demokrasia imetamalaki kwa kauli hii ya vuvuzela wao kweli kuna demokrasia?
Unabii WA kakobe unatimia
msunami we ni ---- kwa Akili Yangu na dhimila Yangu niliyo nayo kwa lowasa hakusitahili kuwepo hapa duniani ---- ule alitakiwa auwawe hadharani kwa ufirauni aliotufanyia mmasai yule halafu wewe unamtetea kabisa laaaa watanzania hatuna Akili kabisa laaaaaaaaaa
Kwa hali jinsi inavyoendelea ni dhahiri kabisa ccm inakwenda kupasuka ata kama sio yote lakini asilimia fulani itaathirika.
Nayakumbuka maneno ya Mzee Kingunge juzi alipoongea kwamba ili CCM ishinde yanaitajika maridhiano pia kwa kiasi kikubwa inahitajika Lowasa ashirikishwe katika mchakato wa kampeni za Magufuli.
Hakika nawaambia maneno yale ya Kingunge ni busara na ya muhimu sana japo wako watu wanayakejeli.
Na kwa tetesi zilizopo Ngorongoro,Singida,Kigoma na Tanga wako mbioni kufanya kama walivyofanya leo Monduli.
Dhambi nyingine wanayoifanya CCM ni kutaka kuwakata watu wote wanaowania Ubunge na Udiwani ambao walimsapoti Lowasa.
Hili nmelisikia mwenyewe kwa mtu mkubwa kabisa akiwaambia vijana mkakati huo uliopangwa.
Kwa hakika CCM sasa iko vipande vipande tusifarijiane na kujipa moyo ukweli ndio huo.