Tusiilaumu CCM tuwalaumu hawa

View attachment 460789
Kundi ambalo hadi Leo bado linaiabudu CCM ni kina mama, na wazee karibia wote, ukimwona kijana yuko na CCM ujue akili zilishachotwa.

Wazee utakuta analalamika lakini mwisho hataki kukubali kuwa matatizo yote haya yanatokana na CCM, nguo na T-shirt wanazo pewa basi wanaona inatosha.

Vijana sasa ni wakati wa kuwaelimisha na kuwahamisha hawa kina mama na wazee kifikra waachane na chama fisadi hiki.

Naamini kama kila kijana akimhamisha mzee mmoja hadi 2020 CCM itabaki tupu.

Kazi imeanza, nyumba kwa nyumba.
Halafu ni kundi la watu wasiokwenda shule au waliosoma kwa kupitishwa kikada au kucheza ngoma,sasa hivi hakuna ujanja.
 
Wazo zuri mi nakushauri anza kumshauri bi mkubwa hapo nyumbani kwanza
 
Mbona huko CCM fisadi hawapo tena?na waliobaki wameshaminywa hawafulukuti tena,waliochafua chama wapo chama kingine tena,jitahidi kunyooshea kidole chama hicho walichoenda,msiwe mnajisahaulisha
Bila shaka wewe sio mwenzetu kabisa...Bado wapo wanaokichafua chama kama Ben,Jk, Rostam,Karamagi na Mkono
 
Mbona huko CCM fisadi hawapo tena?na waliobaki wameshaminywa hawafulukuti tena,waliochafua chama wapo chama kingine tena,jitahidi kunyooshea kidole chama hicho walichoenda,msiwe mnajisahaulisha
Muulize Faru John kama kwenye ile mahakama kama kuna wateja
 
View attachment 460789
Kundi ambalo hadi Leo bado linaiabudu CCM ni kina mama, na wazee karibia wote, ukimwona kijana yuko na CCM ujue akili zilishachotwa.

Wazee utakuta analalamika lakini mwisho hataki kukubali kuwa matatizo yote haya yanatokana na CCM, nguo na T-shirt wanazo pewa basi wanaona inatosha.

Vijana sasa ni wakati wa kuwaelimisha na kuwahamisha hawa kina mama na wazee kifikra waachane na chama fisadi hiki.

Naamini kama kila kijana akimhamisha mzee mmoja hadi 2020 CCM itabaki tupu.

Kazi imeanza, nyumba kwa nyumba.
Una maana wazee kama Makonda, Mwigulu, January Makamba, DR. Kigwangala au?
 
Mbona huko CCM fisadi hawapo tena?na waliobaki wameshaminywa hawafulukuti tena,waliochafua chama wapo chama kingine tena,jitahidi kunyooshea kidole chama hicho walichoenda,msiwe mnajisahaulisha
Mbona yeye mwenyewe ni fisadi na bado hajahama. Na yeye akihama tutaamini kweli sasa mafisadi wamehama ndani ya chama chenu.

Maana kuna yule anayejiita nyoka wenye makengeza sijui amejificha wapi sijamsikia siku nyingi ila naye bado yupo huko kwenu.
 
Mi sina mda wa kuelimisha mtu ila nimeacha tabu na shida ziwaelimishe, kufikia 2020 akili zitakuwa zimewakaa sawa, wakirudia kosa wataendelea kuisoma tena
 
View attachment 460789
Kundi ambalo hadi Leo bado linaiabudu CCM ni kina mama, na wazee karibia wote, ukimwona kijana yuko na CCM ujue akili zilishachotwa.

Wazee utakuta analalamika lakini mwisho hataki kukubali kuwa matatizo yote haya yanatokana na CCM, nguo na T-shirt wanazo pewa basi wanaona inatosha.

Vijana sasa ni wakati wa kuwaelimisha na kuwahamisha hawa kina mama na wazee kifikra waachane na chama fisadi hiki.

Naamini kama kila kijana akimhamisha mzee mmoja hadi 2020 CCM itabaki tupu.

Kazi imeanza, nyumba kwa nyumba.
Kuelekea 2015: CHADEMA, Don't Miss the Target, Adui Mkubwa sio CCM Bali ni .....!
 
Ndivyo anavyowadanganya huyo Lowassa kwamba alishinda? Mbona hajaweka ushahidi hadharani wa kura alizopata zinazoonesha ameshinda? acheni ushabiki wa kijinga wa kudeki barabara na kuigiza kuzimia! Kuweni na akili japo kidogo!
Soma post #15. Unasemaje?
 
Halafu ni kundi la watu wasiokwenda shule au waliosoma kwa kupitishwa kikada au kucheza ngoma,sasa hivi hakuna ujanja.
Mimi nina elimu ya kutosha kuliko baba yako lakini siwezi kudanganywa na akina Mbowe na Lowassa aliyekuwepo Serikalini akaondolewa kwa aibu Bungeni. Tafuteni Wagombea makini tutawaunga mkono lakini siyo hao mnaotuletea.
 
Ah ah Chenge naye hayuko CCM,
Mama Tibaijuka naye hayuko CCM,
Fisadi Lugumi naye hayuko CCM,
Muhongo naye hayuko CCM,
JK.....t naye hayuko CCM,
Mkaahapa naye hayuko CCM,
Malanda naye hayuko CCM,
Prof Magembe naye hayuko CCM,
KInaana na meli ya pembe za ndovu naye hayuko CCM,
Alochota ela hazina na kumpa Lipumba ( Alofanya money laudering hii naye hayuko CCM ?? zaidi analindwa na kufichwa na CCM uyu),
alocheza deal la kuandaa tender ya kofia, sare na makoti za polisi ambayo ni kampuni ya mbunge wa CCM wa afrika mashariki naye hayuko CCM....duh nataja tu jamani.

We mbwa... Inshort nawe ni mmoja kati ya wale vijana walochotwa akili zao na kutiwa akili za mahiti. kibamia wewe
Siyo kwa mgombea Lowassa bora angekuwa hata Dr Slaa. Lowassa CDM wametutangazia kuwa fisadi kwa miaka 8 halafu leo mtuambie Malaika? Kigeugeu gani hicho!!
 
SIO BURE HAWA JAMAA ZAID YA VTENGE, TSHET, NA VIJISENT WANA MZIZ MKAL MNO
 
Back
Top Bottom