Tusidhihaki Jeshi la Polisi kwani halina mbadala

Tusidhihaki Jeshi la Polisi kwani halina mbadala

Unategemea nini wakati kwa sasa asilimia kubwa ya polisi ni waathirika wa kamari (betting).
Tangu nimekufahamu rafiki angu leo ndiyo umeandika point, kula 5, (Bettin, mpira, uchawi, ulevi, uzinzi na tamaa ya maisha mazuri bila kufanya kazi) hawa ni maadui wakubwa wa taifa letu
 
Mpigie simu aende hata leo kama atathubutu. Tena hiyo kesi apewe jaji mwenye kadi ya ccm kabisa. Hakuna muhalifu mwenye ujasiri wa kwenda mahakamani maana ana damu za watu mikononi. Na wakati anaenda muambie aende na maiti za kina Soka kabisa.
Kwa CV hiyo ya Kamanda Mafele kumbe anatufaa sana kama aliweza kuwadhibiti Magaidi ya Mkuranga na Rufiji pia ndiye aliyedhibiti Panya Road wa Dar waliokuwa wanatulaza mapema sisi wanaume wa Dar lakini sasa hivi tunakula starehe usiku kucha. Huyu kweli ni Kamanda ngoja sasa awashughulikie wanasiasa uchwara wa kwenye social media mpaka wanyooke. Heko Kamanda Mafele.
 
Unauliza au unapigia jibu mstari? Sativa ni mmoja ya watu waliotekwana yeye, na akina Soka kama wako hai wakipatikana watamtaja yeye.
Acha atekwe tu kwa lugha chafu hizo!
 
Unategemea nini wakati kwa sasa asilimia kubwa ya polisi ni waathirika wa kamari (betting).
Siyo kweli, kila sehemu wema na wabaya hawakosekani,hata kwenye ukoo wako wema na wabaya wapo pia,ni swala la kumuomba Mungu hata hao wabaya wachache nao wawe wema pia!!
 
Tangu nimekufahamu rafiki angu leo ndiyo umeandika point, kula 5, (Bettin, mpira, uchawi, ulevi, uzinzi na tamaa ya maisha mazuri bila kufanya kazi) hawa ni maadui wakubwa wa taifa letu
Hunisomi vizuri tu, rudia posts zangu, umeshaanza kuielewa lugha yangu.
 
Siyo kweli, kila sehemu wema na wabaya hawakosekani,hata kwenye ukoo wako wema na wabaya wapo pia,ni swala la kumuomba Mungu hata hao wabaya wachache nao wawe wema pia!!
Siyo kweli nini?
 
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.

Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote

Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.

Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???

Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.

Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.

Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.

Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.

kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.

N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Mimi huwa napenda kuchambua uwasilishaji wa hoja, na kwa mantiki hii, kama 'hujasikia' ndiyo kusema nini?
 
{Copy and Pest}

WASIFU WA MKUU WA GENGE LA UHALIFU AMBALO LINATUHUMIWA KUTEKA,KUKAMATA,KUTESA NA KUUA WAKOSOAJI NA WAPINZANI WA SERIKALI YA CHAMA TAWALA CCM

Jina: Faustine Jackson Mafwele
Umri: miaka 47
Kabila : Mkerewe
Dini: Mkristo
Makazi : Mikocheni
Kazi: Afisa mwandamizi wa polisi
Cheo: Kamishina Msaidizi wa Polisi
Madaraka: Zonal Crime Officer
Tuhuma: Kuendesha genge la uhalifu dhidi ya binadamu.
Mawasiliano: +255 755 855 743
+255 787 922 913

1. ACP Faustine Mafwele kwa mara ya kwanza amethibitishwa hadharani na kutambuliwa na Edgar Edson Mwakabela (Sativa) kama afisa mwandamizi wa Jeshi la Polisi Tanzania ambaye alitoa amri ya kubebwa kwake kisha kusafirishwa kwenda Arusha na katavi kupigwa risasi ya kichwa kabla ya kunusurika kuuawa.

2. ACP Faustine Mafwele amewahi kuwa OC-CID mwaka 2011-2015 wa kituo cha Polisi Arusha na baadae akawa RCO wa Mkoa wa Arusha

Wakati wa mauaji ya wanachama wa CHADEMA maandamano ya Arusha ya 04 January 2011 alikuwa OC-CID.

Wakati huo Faustine Mafwele akiwa na cheo cha ni Mrakibu Msaidizi wa Polisi

Tarehe 05 January 2012 akiwa Mrakibu Msaidizi wa Polisi Faustine Mafwele alipigwa risasi na Jambazi Jijini Arusha kati ya majibizano ya risasi baina yake na Jeshi la Polisi,hata hivyo askari mmoja wa Jeshi la Polisi aliuawa kwa risasi na Mafwele aliendelea kutibiwa hospitali ya Seriani.

3.Amewahi kuwa Zonal Crime Officer (ZCO) wa Kanda maalum ya MKIRU yani Mkuranga, Kibiti, Rufiji.

4.katika kesi za watu wanaolalamika kwangu ndugu zao kutekwa, kupotea au kukutwa wameuwawa asilimia 90 wanamtuhumu ACP Faustine Mafwele kama mtu ambaye ndiyo mtekelezaji wa shughuli hizi mbaya.

5.ACP Faustine Mafwele amekuwa ni Afisa wa Jeshi la Polisi ambaye hana madaraka makubwa sana ila anaogopwa hadi na viongozi wake wa Jeshi la Polisi kuanzia Kanda Maalum ya Dar es saalam hadi Makao Makuu ya Polisi,Dodoma

6.Kuna hisia ambazo hazijathibitishwa kuwa ni Penetrating Officer (PE) wa Idara ya Usalama wa Taifa ambaye anafanya kazi mbili kwa pamoja kiasi cha Viongozi wa Jeshi la Polisi kumuogopa wakiamini ni Mtu ambaye kazi zake zina baraka ya Idara ya Usalama wa Taifa.

7.Baada ya Kazi Maalum ya MKIRU (Mkuranga, Kibiti Rufiji) kumalizika akiwa kama Crime zonal Officer (ZCO) alihamishiwa kwenda Kuwa RCO wa Mkoa wa Mwanza

Huko Dunia ilianza kufahamu ukatili wa ACP Faustine Mafwele baada ya 2021 Mzee William Sije kulalamika kuwa RCO Mafwele wa Mkoa wa Mwanza amemuua Mtoto wake James William Sije.

8.IGP Simmon Sirro alimuhamishia Mkoa wa Dar es Salaam kuja kuwa Zonal Crime Officer (ZCO) wa Kanda maalum ya Dar es saalam 06 April 2022 kwa kazi maalum dhidi ya Panya road na ujambazi wa kutumia Silaha.

9.Misheni na siri nyingi anazozijua ndiyo chanzo cha Viongozi wa Serikali ya CCM kumuogopa na kumlinda wakiamini anaweza kwenda kusema mambo mabaya zaidi anayoyajua.

Kupitia hoja hiyo, ACP Faustine Mafwele amelalamikiwa mara nyingi sana lakini Viongozi wizarani na serikalini wanamuogopa sana kuchukua hatua.

10. Mafwele pia anatuhumiwa na familia nyingi kama mtu ambaye ameshiriki mauaji kwa moja katika kuwapoteza ndugu wa baadhi ya familia zao
kupotea kwa

1.Mfanyabiashara Musa Mziba
2.Kupotea kwa Deo Mugasa
3.Kupotea kwa Adinani Hussein Mbezi
4.Kupotea kwa Vijana watano wa Aggrey
5.kutekwa na Kupigwa risasi kwa Edger Edson Mwakabela.
6.Faustine Mafwele na genge lake tarehe 22 August 2024 alituhumiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe kuhusika kwake ktk Kupotea kwa Kina Godwin Mlay,Deusdedith Soka na Frank Mbise

11.Katika kuonyesha jeuri na kuogopewa na wenzake ACP Faustine Mafwele amejipa ukiranja wa kuwa mwenyekiti wa Ma-RCO wa Jeshi la Polisi Tanzania tofauti na utamaduni wa Jeshi la Polisi ulio zoeleka wa Ma-RCO kuwa chini ya usimamizi wa DCI

12.Nimeona niweke kumbukumbu hizi vizuri na wasifu mfupi wa ACP Faustine Mafwele mjue kazi kubwa iliyopo mbele yetu kuhakikisha Faustine Mafwele anafikishwa mbele ya vyombo vya sheria na kujibu tuhuma zake

Bila kelele za kutosha hakuna Jambo litakalotokea kwa sababu nilizozitaja hapo juu

Boniface Jacob
Ex-Mayor Kinondoni & Ubungo
0712 239 595
The voice of the silenced Majority /
Nilikua nausaka huu wasifu JF waficha maovu walifuta uzi sijui kwanini huyu muovu mnamfichaficha huyu sijui km hata Sadaka anatoa kanisani Wewe Faustino ndio unafundishwa hivyo na Paroko wako kufyeka watu kuteka na kuwaua? Nakuuliza Wewe Mafuele ndio unafundishwa hivyo hapo Parokiani? Hivi Polisi hata Dini wanazo au wanabeba tu majina ya Dini ila Dini hawana unakosa hata chembe ya Huruma unateka, unatesa na unaua? Kabla ya kuua hua unasali Sala ya Toba au unasali baada ya kuua?
 
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.

Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote

Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.

Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???

Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.

Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.

Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.

Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.

kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.

N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
We kweli ni jingalao hili jukwaa si la majinga!
Polisi kaziyao ni ubabe na kushinikiza umesona wapi? Saivi tunaijua PGO(Asante kwa lissu)
Watuambie wanao-uaua watu hovyo kama hawawajui wasaidiwe na vikosi mahiri toka nje!
Mf. Bandari ilitushinda tukaenda uarabunii Sasa watu wanakufa kwanini hatujalii??
Nini kinafichwa hawataki kusaidiwa ukweli ujulikanee?
 
Back
Top Bottom