Tusidhihaki Jeshi la Polisi kwani halina mbadala

Usigeuke kasuku
Kama mnaona mliyemtuma kuua wapinzani anawekwa hadharani kwa umma, muambieni awarudishe akina Soka wakiwa hai au ameshawaua. Na kwa taarifa yako hii taarifa inatakiwa isambazwe kwa nguvu dunia kote. Hata kwenye chuo cha huyo binti yake huko Africa Kusini imeshatumwa, ili wamiliki wa hicho chuo wajue mwanafunzi wao anasoma kwa hela za kumwaga damu ya watanzania wasio na hatia kisa ni wapinzani.
 
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.

Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote

Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.

Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???

Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.

Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.

Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.

Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.

kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.

N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Naunga mkono hoja !
 
Sasa kaa kwa kutulia muhalifu awekwe hadharani. Yeye anasomesha mtoto wake africa kusini kwa kumwga damu za watoto wa wengine wasio na hatia hapa nchini.
Mshauri wahanga wake akiwemo satinva kwenda mahakamani ili apate haki yake, ushahidi si mnao tayari mkuu
 
Japokuwa uhalifu hauhusiani na kabila ila jamii za wajita na wakerewe baadhi yao ukiwaweka ktk nafasi za kulinda haki na usalama mara nyingi wanakuwa wavurugaji, na wenye vinyogo sana
 
Mshauri wahanga wake akiwemo satinva kwenda mahakamani ili apate haki yake, ushahidi si mnao tayari mkuu
Mahakama zipi hizi zinazoshirikiana na hao wahalifu? Juzi kabla ya kuuwawa Ali Kibao ilifungiliwa kesi, mahakama ikapiga chenga, Rais anasema kutekwa ni drama, spika hataki bunge lijadili hayo. Hapo unaenda mahakamani kutafuta nini? Mahakama ni sehemu ya kulinda uhalifu wa wazi hapa nchini.
 
tom-holland.gif
 
Matukio haya mtayazuiaje kama hali ipo namna hii mkuu?
 
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.

Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote

Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.

Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???

Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.

Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.

Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.

Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.

kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.

N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Wewe ni takataka.
 
Polisi hii hii iliyoshindwa kuwakamata waliomteka Mo Dewji kwa miaka 6 sasa?

Polisi hii hii iliyoshindwa kukamata waliomminia Lissu risasi 32 kwa miaka 7 sasa?
 
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.

Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote

Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.

Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???

Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.

Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.

Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.

Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.

kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.

N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Kwanza kinachotakiwa polisi wafuate sheria na kanuni za jeshi hilo. Wanapokiuka sheria na kanuni hawafai kuendelea kuwepo.

Pili polisi wachukue hatua haraka wanapopelekewa malalamiko vinginevyo watashukiwa kuhusika.
 
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.

Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote

Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.

Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???

Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.

Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.

Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.

Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.

kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.

N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
Rubbish mwambie "Mwenyekiti wa ma RCO nchi nzima aliye na nguvu za ajabu aache vituko vyote vyake kwani si siri tena.
Stori zake za Arusha, Mwanza na Dar viko wazi suala ni kwanini anaachiwa kama hana baraka za mkubwa fulani?
 
Yaani mkishajua vifupisho vya vyeo tu mnaashumu mmeshajua watu hebu kuweni na heshima kwa vyombo vilivyowekwa kwa mujibu wa sheria.
 
Back
Top Bottom