Tusidhihaki Jeshi la Polisi kwani halina mbadala

We kweli ni jingalao hili jukwaa si la majinga!
Polisi kaziyao ni ubabe na kushinikiza umesona wapi? Saivi tunaijua PGO(Asante kwa lissu)
Watuambie wanao-uaua watu hovyo kama hawawajui wasaidiwe na vikosi mahiri toka nje!
Mf. Bandari ilitushinda tukaenda uarabunii Sasa watu wanakufa kwanini hatujalii??
Nini kinafichwa hawataki kusaidiwa ukweli ujulikanee?
Kwani huko nje hawafi?
 
Over the years of my lifetime I've witnessed many crises cascading Tanzania, but none has been so awful like this current spectre.

War on the law enforcement. Against organizations like the Police Force and Intelligence apparatus, signifies that the ruling elites have lost public confidence.

It's very easy to destabilize a country with no social cohesion like ours.​
Ghwe Gwamaka ugwe tujobheghe ikinyakyusa ifisungu ifyo umanyire kughu mmanyani.
 
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.

Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote

Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.

Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???

Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.

Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu

ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.

Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.

Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.

kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.

N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA

..wananchi wanataka jeshi la Polisi livunje genge linaloteka, na kuuwa, pia liwafikishe wahusika mahakamani.
 
Sio polisi kama taasisi,kuna watu polisi wanatumia vibaya kama waliotajwa na baadhi ya wanajf!
 
Inamaana huko kwenu hakuna sungusungu.?
 
Wamejivunjia heshima yao wenyewe kwa kugeuza vituo vya polisi miradi yao ya kujipatia fedha za rushwa. Ukimshitaki mtu uwahonge ukimtowa mtu uwahonge.
Kuna wakati unakuaga na Akili sana basi tu sijui nini huwa kinatokea.
 
Mbadala wa Polisi upo, wala USIJIDANGANYE. Iko TPDF yenye nidhamu ya hali ya juu ambayo ni dakika moja wanaweza kufanya wanachofanya Polisi lakini Polisi hawawezi kufanya wanachofanya TPDF.

Hata ukifuta Polisi waliopo kuanzia Camilius Wambura hadi Constable Marwa, ndani ya siku 2 unaweza kupanga raia wengine wakachukua hayo majukumu kutoka SUMA JKT
 
Samahani ndugu kwani wewe hapa mjini unashughulika na nini
 
Wamejivunjia heshima yao wenyewe kwa kugeuza vituo vya polisi miradi yao ya kujipatia fedha za rushwa. Ukimshitaki mtu uwahonge ukimtowa mtu uwahonge.
Jeshi la polisi lina fuga wanyang'anyi ,wezi na wauwaji wanao jiona hawawezi kuchukuliwa hatua yeyote
 
Mbadala wa Polisi upo, wala USIJIDANGANYE. Iko TPDF yenye nidhamu ya hali ya juu ambayo ni dakika moja wanaweza kufanya wanachofanya Polisi lakini Polisi hawawezi kufanya wanachofanya TPDF.

Hata ukifuta Polisi waliopo kuanzia Camilius Wambura hadi Constable Marwa, ndani ya siku 2 unaweza kupanga raia wengine wakachukua hayo majukumu kutoka SUMA JKT
kwa hiyo unataka TPDF ianze kufanya kazi za polisi?unaelewa maana yake?
 
Back
Top Bottom