funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,421
- 31,922
Nichukue fursa hii kuwapa pole makamanda wote na frontliners wote wa jeshi la polisi kwa kutukanwa kila panapokucha sometimes bila sababu ya msingi.
Sikatai wala sipingi kuwa wapo baadhi ya polisi wanazo tabia chafu ila sio wote
Natambua kuwa Kazi ya polisi sio kubembeleza bali ni ubabe na kushinikiza pengine ndio maana tunawaona wabaya.
Tunapotaka polisi wawe laini laini tunataraji tuwe na chombo gani mbadala kitakachotisha wahalifu???
Nina hakika bila uwepo wa polisi tena wenye roho ya kibabe basi nchi isingekalika.
Soma pia: IGP Wambura: Polisi hatuhusiki na matukio ya utekaji watu
ukienda umasaini kuna morani ambao kazi yao muhimu ni ubabe vita na kutoa adhabu.Morani anaogopeka sana na hatimaye pale umasaini kunakuwaga na heshima na utulivu.
Hata wanyama mfano nyuki kuna drones zenye kazi moja tu ya kumlinda malkia na kundi la nyuki ...nyuki hawa yaani drones hawanaga simile ukisogelea mzinga yaani hao wanadunga tu.
Tuache kulidhoofisha jeshi la polisi kwa kutukana na kutaka kuwatisha eti waache ubabe.
sisi cha kufanya ni kuishi kwa amani na kutii sheria tu.
kamwe sijasikia polisi imemfuata mtu mtaani ambaye hajavunja sheria na kuanza kumpiga tu.
N.B:Sitetei mtu kuuawa kwani si haki na ni dhambi.
KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA