TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 23,914
- 23,079
Siyo rahisi mtu kutelekeza "profession" yake ya uenyekiti kirahisi namna hii!
===
Tunasubiri Desemba 18,2019.
===
Tunasubiri Desemba 18,2019.
Ndio maana vyama vinakuwa na intelejensia na visiting kwa wanachama wakeVipi kuhusu kuhofia mamluki kupenyezwa wagombee huo uenyekiti pindi Mbowe akiachia ngazi?
Safari Mbowe akipita Tena jiandae chadema maelfu kuhama chama kuonyeshwa hasira zao kwakeMbowe anahitajika sasa kuliko nyakati zote alizowahi kuwa mwenyekiti.
Mkuu unajua vifo vya hivi vyama viliyokana na niniHivi ni kwa nini CCM na washirika wake wanamwogopa sana Mbowe? Hivi kwa nini Vyama vingine wenyeviti wao ni wa miaka na miaka lakini watu hawawasemi kuwa wawaachie wengine bali Mbowe tu? Nani aliwahi kusikia uchaguzi wa mwenyekiti wa TLP ya Mrema?
Ni kweli mkuu Mbowe alipoifikisha Chadema apumzike tu aachie vijana waongozeUko sahihi kabisa katika andikp lako, Mbowe siasa za zama za Magufuli haziwezi, ningewaona vijana wa chadema wanazo akili kama wangemchulia fomu John Heche na Tundu Lisu, hawa ndio wenye uwezo wa kufanya siasa anazozitaka Magufuli. Jino kwa jino.
Kama hiyo ndiyo sababu ya vyama kufa maana yake Mbowe akikaa sana madarakani ataiua Chadema. Na ninyi siku zote mnataka Chadema ife. sasa huoni kuwa hiyo ni faida kwenu? Malalamiko ya nini sasa? Si anawarahisishia kazi ya kufikia malengo yenu?Mkuu unajua vifo vya hivi vyama viliyokana na nini
Ikiwa vyama unavyo vitaja ni vyama vya upinzani basi ujue hakukuwa na haja ya kuwepo chadema
Kilicho viua hivyo vyama in kunga'ang'ania madaraka kwa viongozi wao na kubaki kama ni vyama vya familia
Chadema haipaswi kufika huko ilipaswa kujipambanua kwa namna ya kipekee na kuonyesha njia kwa vyama vilivyo lala usingizi
Watu gani hao? Wewe? Sasa kama hana jipya si ndio furaha kwenu adui wa Chadema?Ni kweli mkuu Mbowe alipoifikisha Chadema apumzike tu aachie vijana waongoze
Chadema hawataki kuuishi uhalisia kuwa Mbowe hana fikra mpya tena na kiuhalisia watu wanamuona hana jipya tena.
Ukiona adui yako anayekuwinda na kukuombea mabaya kila siku anakukataza usifanye kitu fulani, basi hicho ndicho cha kufanya.Ni kweli mkuu Mbowe alipoifikisha Chadema apumzike tu aachie vijana waongoze
Chadema hawataki kuuishi uhalisia kuwa Mbowe hana fikra mpya tena na kiuhalisia watu wanamuona hana jipya tena.
Ukiona adui yako anakukataza usipite njia fulani, basi hiyo ndiyo njia sahihi ya kupita. Maana adui siku zote hataki jema likupate.Mkuu unajua vifo vya hivi vyama viliyokana na nini
Ikiwa vyama unavyo vitaja ni vyama vya upinzani basi ujue hakukuwa na haja ya kuwepo chadema
Kilicho viua hivyo vyama in kunga'ang'ania madaraka kwa viongozi wao na kubaki kama ni vyama vya familia
Chadema haipaswi kufika huko ilipaswa kujipambanua kwa namna ya kipekee na kuonyesha njia kwa vyama vilivyo lala usingizi
Mkuu unaweza kuhisi kila anae pinga jambo fulan akawa wa upande Fulani sio kweli maana jicho la tatu ni mhimu kwaajili yakeshoKama hiyo ndiyo sababu ya vyama kufa maana yake Mbowe akikaa sana madarakani ataiua Chadema. Na ninyi siku zote mnataka Chadema ife. sasa huoni kuwa hiyo ni faida kwenu? Malalamiko ya nini sasa? Si anawarahisishia kazi ya kufikia malengo yenu?
Unachosahau ni kwamba maisha ya Mbowe hayajaanzia CDM. Alikuwa na maisha yake mazuri tu kabla ya kuingia CDM.Mchaga aachie sufuria ya ruzuku jikoni.Sio rahisi.Ruzuku ikitutwa chadema mbowe siku hiyohiyo anakabidhi Chama kwa yeyote Aweza mkabidhi hata mdude
Kwani kuna ubaya akiwa anatamani kuendelea? Mbona katiba inamruhusu, tunachokitaka ni watu wachukue fomu na yeye kama anataka achukue wanachama wakiwa na imani nae bado watamrudisha.Nimesoma mada ya ndugu na Rafiki yangu Molemo inayodai kuwa maelfu ya wanachama wa CHADEMA wamejitokeza kuchangia fedha kwa ajili ya kumchukulia na kumpelekea fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa Mwenyekiti wa sasa Mhe. Freeman A. Mbowe. Fomu husika, kwa uchaguzi wa Disemba, inagharimu shilingi milioni moja za kitanzania.
Mkuu Molemo anajaribu kuonyesha kuwa wanachama wa CHADEMA kwa maelfu bado wanamtaka Mbowe ili 'awavushe'. Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka kumi akichukua uongozi baada ya Hayati Bob Makani. Sikubaliani na hoja kuwa Mbowe analazimishwa na wanachama kugombea Uenyekiti.
Ingawa mimi si mwanasiasa, ufuatiliaji wangu wa siasa katika vyama vyote umenifahamisha kuwa siasa ni mkusanyiko wa maigizo, ulaghai na utapeli ulio na chembechembe ndogo za ukweli. Kwenye siasa, 9 husemwa 6 na sifuri na o zaweza kutotofautishwa kirahisi. Kwenye siasa, ambamo Mbowe yumo, kunaweza kuigizwa jambo hadi watu wakaamini.
Nasema kuwa Mbowe (kama itaonekana amechangiwa na kupelekewa fomu) anataka mwenyewe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Haya maigizo ya kuchangiwa na kubembelezwa kugombea nayakataa. Walishawahi kuwepo wanasiasa waliotembelewa na kuombwa kugombea katika aina hii hii ya maigizo.
Mbowe amefanya mengi na makubwa. Anapaswa kukaa benchi la washauri wa chama na kuachia wengine wakiongoze chama. Aliyoyafanya wakati wa uongozi wake yatamfanya akumbukwe na kuheshimika kuliko aendelee na kundelea kusemwa kama mlafi wa madaraka kwenye chama chake.
Hiyo safari ya CDM kuelekea mtaroni mbona imekuwa ndefu sana. Unakumbuka Wassira alitabiri CDM itakuwa mtaroni kabla ya 2015. Kilichotokea yeye ndiye akaingia mtaroni badala ya CDM. Endeleeni kusubiri, si mnasema subira inavuta heri! Ila nina mashaka hiyo subira ya kwenu inavuta bange.Tatizo ukionesha nia tu ya kugombea wana kuMADAA.
Muacheni agombee tu kwa uwazi maana chama chenyewe kinaelekea mtaroni
Kweli kabisa kamanda!Sasa kama wanachama wa cdm bado tunamuhitaji mh Mbowe kuendelea kuwa mwenyekiti wetu kosa letu au la mh Mbowe linatoka wapi?
Kwa posti hii sasa unaanza kueleweza uko kapu gani! Si kwa pity je nani ambae angebomolewa nyumba ya tsh 100m na akakomaa hii Tanzania?Nimesoma mada ya ndugu na Rafiki yangu Molemo inayodai kuwa maelfu ya wanachama wa CHADEMA wamejitokeza kuchangia fedha kwa ajili ya kumchukulia na kumpelekea fomu ya kugombea Uenyekiti wa Taifa Mwenyekiti wa sasa Mhe. Freeman A. Mbowe. Fomu husika, kwa uchaguzi wa Disemba, inagharimu shilingi milioni moja za kitanzania.
Mkuu Molemo anajaribu kuonyesha kuwa wanachama wa CHADEMA kwa maelfu bado wanamtaka Mbowe ili 'awavushe'. Mbowe amekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA kwa zaidi ya miaka kumi akichukua uongozi baada ya Hayati Bob Makani. Sikubaliani na hoja kuwa Mbowe analazimishwa na wanachama kugombea Uenyekiti.
Ingawa mimi si mwanasiasa, ufuatiliaji wangu wa siasa katika vyama vyote umenifahamisha kuwa siasa ni mkusanyiko wa maigizo, ulaghai na utapeli ulio na chembechembe ndogo za ukweli. Kwenye siasa, 9 husemwa 6 na sifuri na o zaweza kutotofautishwa kirahisi. Kwenye siasa, ambamo Mbowe yumo, kunaweza kuigizwa jambo hadi watu wakaamini.
Nasema kuwa Mbowe (kama itaonekana amechangiwa na kupelekewa fomu) anataka mwenyewe kuendelea kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa. Haya maigizo ya kuchangiwa na kubembelezwa kugombea nayakataa. Walishawahi kuwepo wanasiasa waliotembelewa na kuombwa kugombea katika aina hii hii ya maigizo.
Mbowe amefanya mengi na makubwa. Anapaswa kukaa benchi la washauri wa chama na kuachia wengine wakiongoze chama. Aliyoyafanya wakati wa uongozi wake yatamfanya akumbukwe na kuheshimika kuliko aendelee na kundelea kusemwa kama mlafi wa madaraka kwenye chama chake.
Siyo lazima, kwani ni sheria ya biashara kwamba lazima ufilisike?Kwani biashara mtu huwa hafilisiki?
Huyo Cecilia ajifunze kitu kwa Chacha wangwe kwanza. Maana mpaka leo kuna maswali mengi kuliko majibu. Na chadema imeshindwa kukanusha kuhusishwa na kifo cha mtu huyuTatizo ukionesha nia tu ya kugombea wana kuMADAA.
Muacheni agombee tu kwa uwazi maana chama chenyewe kinaelekea mtaroni