makoko jumanne
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 584
- 164
Mtoa post umepiga viroba kwanza ndio ukaja Jf ukidhani Kwa kufanya hivyo ndio tutakuelewa,haya maneno peleka kijiweni sio kwa watu wanaojitambua na kujielewa kwa kuwa tunaweza kuchambua vitu,kama umetumwa na hao ukawa leo hupati mshahara wako wa 5000 uliyoahidiwa ukifanya propaganda