Tusidanganyane: Hapa lazima moto utawaka tu!

Weka wakala unaemwamini ni sio mradi wakala tu, kwenda kukesha kulinda kura kwa vyama vyote ni mwanzo WA kusababisha vurugu tu
kuka mita 200 sio suluhisho la kura kutokuibiwa,Ni bora tume iweke kamera kila kituo wakati wa kuhesabu kura ili kuzuia wizi
 
Hao watu wote watatoka wapi tanzania hii labda kama wengine utaazima toka kenya. Halafu eti unajiita dokta akili ingali uu mbumbumbu wa kutupa

Watu kama hawa wanatakiwa kutumia vizuri hii fursa ya elimu bure vinginevyo washughulikiwe kisheria kwa kutokujali elimu
 
Wewe fikiria eti vijana 500 wa UKAWA, 700 wa CCM na 50 wa ACT watakuwa wamekizunguka kila kituo cha kupigia kura hapo tarehe 25 Oct kuanzia saa mbili asubuhi hadi kesho yake wakilinda kura za vyama vyao visirubuniwe! Vijana hawa ambao kwa vyo vyote vile wengi wao watakuwa ni wale wasio na kazi (jobless), wakiwemo wavuta bangi, watumiaji wa viroba haramu (gongo), vibaka n.k. Watakuwa wameweka uzio mita 200 toka kituo cha kura. Hakuna huduma choo wala nyingine yo yote kuwahudumia vijana hawa.

Sasa tunaaminishwa kwamba kwa hali hiyo moto hautawaka kweli? Hili wala si jambo la wanasheria, ni suala la usalaama wa wananchi na halina mjadala.

Unachosema ni kweli kabisa ndugu yangu, ilikuwa ni kazi ya tume ya uchaguzi kuwa wazi zaidi kuliko ilivyo sasa, daftari LA mpiga kura UKAWA wamegundua makosa mengi, ni vyema tume japo haipo huru itoe dalili njema kuwa haki itatendeka, haki isisitizwe sambamba na amani. Otherwise nashare your concern.
 
Wewe fikiria eti vijana 500 wa UKAWA, 700 wa CCM na 50 wa ACT watakuwa wamekizunguka kila kituo cha kupigia kura hapo tarehe 25 Oct kuanzia saa mbili asubuhi hadi kesho yake wakilinda kura za vyama vyao visirubuniwe! Vijana hawa ambao kwa vyo vyote vile wengi wao watakuwa ni wale wasio na kazi (jobless), wakiwemo wavuta bangi, watumiaji wa viroba haramu (gongo), vibaka n.k. Watakuwa wameweka uzio mita 200 toka kituo cha kura. Hakuna huduma choo wala nyingine yo yote kuwahudumia vijana hawa.

Sasa tunaaminishwa kwamba kwa hali hiyo moto hautawaka kweli? Hili wala si jambo la wanasheria, ni suala la usalaama wa wananchi na halina mjadala.
Hizo hesabu umezitoa wapi wakati NEC imetangaza kila kituo kitakuwa na wapiga kura 450 na si wote watakaolinda kura. Hivi wasiwasi wenu ni nini hasa kuhu jambo hili kama hakuna cha ziada?!
 
Weka wakala unaemwamini ni sio mradi wakala tu, kwenda kukesha kulinda kura kwa vyama vyote ni mwanzo WA kusababisha vurugu tu

Nskumbuka kule Igunga wakala wa CHADEMA aliuawa na maiti yake kufichwa halafu matokeo yakabadirishwa ikaja kugundulija baadaye kua aliuawa ili kubadirisha matokeo.
Jinsi mlivyohivalisha roho na ajuli za kinyama ili mshinde mnaweza hata kupulizia dawa za usingizi ili kuwalaza mawakala ili tu mfanye mtakavyo. Hivyo tutapiga kambi kulinda kura na mawakala wetu.
Period.
 
Kituo ni nadharia, Kila sehemu palipokuwa na Uandikishaji kutakuwa na kituo zaidi ya kimoja kukidhi mahitaji ya wote waliokuwepo. Kuna maeneo waliandikisha zaidi ya siku 14 na kwa mashine zaidi ya mbili. Ikikupa Wastani wa watu 100 kwa mashine kwa siku. Unaweza kisia kwenye eneo moja kutakuwa na watu wangapi.
Jitoeni akili tu.

CCM bana!! hesabu zenu mnazitoa wapi?? Mkuu pale katoa data za ajabu, mleta uzi nae naona anatuletea namba feki vp? kumbuka kuwa hata hao 450 kwa kila kituo vijana n 60% ambao ni chini ya 300. kazi mnayo kuweka propaganda zenu sawa. tunaojua hesabu tunawazomea
 
Kwa akili ya kawaida tu kwa uchafu na madudu yaliyobainika katika daftari la wapiga kura bado unataka kujifanya eti tuna imani kila kitu kitakuwa sawa?
 
Ucwaze sana co vituo vyote vpo sehm ambayo hamna hyduma hata mawakala wetu n waamnfu na watakitetea chama kwa hali na mali
 
Weka wakala unaemwamini ni sio mradi wakala tu, kwenda kukesha kulinda kura kwa vyama vyote ni mwanzo WA kusababisha vurugu tu

MM sielewi kwa nn magamba hawataki watu walinde kura zao? KAMA kweli haki itatendeka masaa mawili yanatosha kuhesabu kura na kabla ya saa 12 kila kituo kitakuwa kimebandika matokeo ya udiwan, ubunge na urais
 
Ukawa toeni elimu ya nini kinachofanyika ndani ya kituo msikimbilie kuwashawishi kulinda kura.waelewesheni wapiga kura.msiwaaminishe na kumbukeni jamii itawaelewa sivyo ndivyo
 
Kila kituo kitakuwa na wapiga kura 450, kwa nini vijana wanaokizunguka wawe 1250? Au we gamba unaleta propaganda?

Yaas wanaweza kufika acha kubeza kama hujui kitu, mfano waliojiandikisha shulr ya msingi mwenge, ni watu 1250, kinachofanyika, wanatengeza vituo vitogo ndani ya kituo hicho hicho cha shule ya msingi mwenge, soo ni kama wanagawa vyumba vya madarasa tu
 
Hizo hesabu umezitoa wapi wakati NEC imetangaza kila kituo kitakuwa na wapiga kura 450 na si wote watakaolinda kura. Hivi wasiwasi wenu ni nini hasa kuhu jambo hili kama hakuna cha ziada?!

Kwa maeneo ya mijini eneo moja linaweza kuwa na vituo vitano, mfano Dar wanatumia sana shule za msingi ambapo kila darasa linalotumika ni kituo. Na maeneo ya mijini ndiko kuna kuna wanaojidai wajuaji sana. mf. Tunduma wameshachomana visu Jana na wame RIP
 
Kila kituo kitakuwa na wapiga kura 450, kwa nini vijana wanaokizunguka wawe 1250? Au we gamba unaleta propaganda?

Uwezo wao wa kufikiria umeishia hapo..hao vijana 1200..sijui atawaleta yeye kutoka Lumumba
 
huyu mpiga debe anasema vijana 700 wa ccm na 500 wa ukawa amefanyia wp hz takwimu???au ametumwa na TWAWEZACCM.?
 
Wewe fikiria eti vijana 500 wa UKAWA, 700 wa CCM na 50 wa ACT watakuwa wamekizunguka kila kituo cha kupigia kura hapo tarehe 25 Oct kuanzia saa mbili asubuhi hadi kesho yake wakilinda kura za vyama vyao visirubuniwe! Vijana hawa ambao kwa vyo vyote vile wengi wao watakuwa ni wale wasio na kazi (jobless), wakiwemo wavuta bangi, watumiaji wa viroba haramu (gongo), vibaka n.k. Watakuwa wameweka uzio mita 200 toka kituo cha kura. Hakuna huduma choo wala nyingine yo yote kuwahudumia vijana hawa.

Sasa tunaaminishwa kwamba kwa hali hiyo moto hautawaka kweli? Hili wala si jambo la wanasheria, ni suala la usalaama wa wananchi na halina mjadala.

---- gamba wewe.
ni vijana 275 wa UKAWA, 150 wa CCM, na 25 wa ACT kituo kinakuwa na watu 450 tu.
 
Wewe fikiria eti vijana 500 wa UKAWA, 700 wa CCM na 50 wa ACT watakuwa wamekizunguka kila kituo cha kupigia kura hapo tarehe 25 Oct kuanzia saa mbili asubuhi hadi kesho yake wakilinda kura za vyama vyao visirubuniwe! Vijana hawa ambao kwa vyo vyote vile wengi wao watakuwa ni wale wasio na kazi (jobless), wakiwemo wavuta bangi, watumiaji wa viroba haramu (gongo), vibaka n.k. Watakuwa wameweka uzio mita 200 toka kituo cha kura. Hakuna huduma choo wala nyingine yo yote kuwahudumia vijana hawa.

Sasa tunaaminishwa kwamba kwa hali hiyo moto hautawaka kweli? Hili wala si jambo la wanasheria, ni suala la usalaama wa wananchi na halina mjadala.

Acha uwake tena nitakuja na kiberiti
 
Dr Akili nakiri una akili kweli kweli

Tumeambiwa idadi ya vituo ni 62,000

Kama kila kituo kitakuwa na watu 1,250 kama unavyodai

Kwa vituo 62,000 idadi ya watu itafikia 77,500,000.

Ninavyojua Tanzania ina watu 48,000,000 (vichanga hadi vikongwe)

Je hao watu wa ziada 29,500,000 watatoka wapi?

Tujaribu kutumia akili tunapotoa hoja.
 
Last edited by a moderator:
Kila kituo kitakuwa na wapiga kura 450, kwa nini vijana wanaokizunguka wawe 1250? Au we gamba unaleta propaganda?

Alikuwa anatumia nadharia tu.
Rekebisha hizo namba kulingana na idadi ya 450 afu uone mambo.
Dhana ni ileile.
 
Back
Top Bottom